Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Mwanamuziki Rihanna Aajiriwa na Kampuni ya Puma

$
0
0
Mwanamuziki Rihanna
Msanii wa muziki nchini Marekani Rihanna anajiandaa kuanza kufanya kazi katika kampuni ya michezo Puma.
Ametangazwa kuwa mkurugenzi wa ubunifu wa vifaa vya kike na atakuwa uso wa vifaa vya mazoezi vya wanawake.
Rihana mwenye umri wa miaka 26 ataunda aina ya nguo zilizopo pamoja na viatu na kusaidia kubuni muundo mpya wa chapa cha bidhaa hizo.
Akizungumza kuhusu ushirikiano huo,Rihana amesema anafurahi kuona ni nini yeye na Puma wanaweza kubuni.
Wakuu wa kampuni ya Puma wanasema kuwa Rihana ataleta ubunifu katika ulimwengu wa riadha.
Nguo hizo mpya zitakuwa na mtindo wenye lengo la kuwaimarisha wanawake katika mazoezi mbali na kuwafanya kuamini miili yao pamoja na wao wenyewe.

Sentensi sita za Kamanda Kova akizungumzia story ya ‘Panya Road’ iliyozuka Dar Jana Jioni

$
0
0
Kumekuwa na storykuhusu Dar kuhusu kikundi cha watu cha ‘Panya Road’ kuvamia maeneo mbalimbali, kupora vitu na kupiga watu.

Kamanda wa Polisi Suleiman Kova amezungumza kupitia kituo cha TBC1, amesema kuwa wananchi wanapaswa kuwa na amani kwa kuwa kikundi hicho kina wahalifu wachache, tayari kuwa wawili ambao wamekamatwa na oparesheni inaendelea ili kuwadhibiti.

“Sisi kama Jeshi la Polisi tumepata taarifa vilevile kama walivyopata watu wengine, kwamba hao vijana maarufu kwa jina la ‘Panya Road’ walikuwa wamezagaa maeneo mengi…”– Kamanda Kova.
“Hawa ni vijana ambao hawana kazi… hawana maadili mazuri… kwanza tuzungumzie uzito wa tatizo, jinsi ambavyo habari zilivyovuma zimevumishwa kubwa zaidi kuliko uzito wa tukio lenyewe… Nataka niwaambie wananchi kwamba endeleeni na shughuli zenu…”

Hatukatai kwamba hawa vijana wapo.. lakini nasema suala limekuzwa limetiwa hofu, watu wamepata hofu kupindukia …”
Wale wanaopeleka uvumi waache kwa sababu wewe hujaona tukio, ukiletewa message na wewe unampelekea mtu mwingine hiyo sio sahihi…”

Tutashughulikia suala la ‘Panya road’ na leo doria inaendelea usiku kucha, wananchi waondoe hofu wajue jeshi la Polisi lipo… Haiwezekani panya road wakatawala Dar es Salaam… Haiwezekani panya road wawe na nguvu kuliko jeshi la Polisi…”
Wamekamatwa wawili… tuliwakamata muda mfupi tu baada ya kuanza vurugu zao…”– Kamanda Kova.
~Millardayo

Mwigizaji Dokii Atangaza Kusaka Mwanaume wa Kumuoa 2015

$
0
0
MSANII wa filamu na muziki Ummy Wenslaus ‘Dokii’ amefunguka kuwa ndani ya mwaka 2014 hajapata mwanaume wa kuendana naye hivyo endapo akibahatika kupata mwenye upendo wa dhati mwaka huu, atampa kila kitu anachokihitaji.

Akipiga stori na paparazi wetu, Dokii alisema kitu kikubwa kilichomfanya awatoe wanaume moyoni kwa mwaka 2014 ni kutokana na wengi wao kutokuwa na upendo wa dhati.

“Siwezi kuwa na mpenzi wakati kila siku naona wenzangu wanalia, sijui nitapata wapi mwanaume mwenye upendo, wengi wapo kwa ajili ya kufanya ngono na mwisho wa siku wanakuumiza,” alisema Dokii.
~Globalpublishers

Martin Kadinda na Aunty Ezekiel Wanaswa Katika Pozi Tata Wakiwa Ukumbini

$
0
0
Wema Sepetu kushoto , kulia ni Aunty na Martin Kadinda Wakifanya yao
~Udaku
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda na mwigizaji Aunt Ezekiel wamenaswa chobingo wakiwa katika pozi tata.Tukio hilo lililoibua maswali mengi yasiyokuwa na majibu lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Klabu ya 71, Tegeta-Kibaoni jijini Dar kulipokuwa na shoo ya kuukaribisha mwaka iliyoandaliwa na Kampuni ya Endless Fame.

“Mh jamani huyu Aunt si ana mume? Halafu si ana kibuzi chake kingine? Huyu Martin naye imekuwaje tena,” alisikika jamaa mmoja ukumbini humo.

Alipoulizwa Aunt kuhusu tukio hilo, alisema wamekumbatiana kirafiki tu na si wapenzi.
~Globalpublishers

Baada ya Nikki Mbishi Kutangaza Kuacha Muziki, Haya Ndio Maneno ya Chid Benz

$
0
0
~Udaku Special
Baada ya msanii wa Hip Hop Nikki Mbishi aka Baba Malcom kutangaza kuwa ameacha kufanya kazi ya muziki sasa Chid Benz amekanusha taarifa hizo na kusema kuwa ameshafanya mazungumzo na msanii huyo  na kumtaka asichukue uamuzi huo mapema kwani hata yeye amepitia katika changamoto hizo.

Chid Benz alichukua nafasi hiyo kuwataarifu mashabiki wa muziki kupitia ukurasa wa facebook na kuandika

 ‘Nakanusha habari za Nikki mbishi kuacha mziki,nimeongea nae kama kaka na kumgusia mengi,najua amenielewa na nimemwambia asikubali wale wanaomkubali waanze kukubali wengine.mimi nimekumbana na vingi na watu weengi waliaminishwa kama nimeshushwa kimziki,jimefanyiwa mengi ambayo kwa muda ule nsingeweza kuelezea kila mtu nini kinaendelea,so if kikitokea kibaya kinatangazwa mpk kwenye taarifa za habari mbona mziki hauchezwi?ningekua sina nguvu hio nisingesumbua watu kuniweka front page..but bado nipo na nimekomaa.na naishi na naona wanaopewa kipaumbele na najua bado mimi ni mimi.Iron'

Ray C Makes Comeback With New Single ‘Mshum Mshum’

$
0
0
Tanzania’s songstress Ray C has dropped a comeback single dubbed Mshum Mshum. The sultry singer was one of the biggest acts in East Africa before her fall from grace due to drug abuse.

She however picked herself up, checked into rehab battled her drug addiction, started the Ray C foundation to help others struggling with drug addiction and now she is back to making music.

Mshum Mshum is a song about love. Give it a listen below

Habari Kamili ya Chanzo cha Panya Road Kufanya Vurugu Jana Jijini Dar Hichi Hapa

$
0
0
KIKUNDI kinachodaiwa kuwa Panya Road kimetikisa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwa kupora mali, kujeruhi watu na kuzua sintofahamu katika maeneo ya jiji hilo wakiwa na mapanga mikononi.

Maeneo yaliyokumbwa na dhooruba hiyo ni pamoja na Sinza, Tandale, Mwananyamala na maeneo mengineyo usiku huu. Maduka na baa zimefungwa na kupelekea polisi kupiga risasi hewani kuwatawanya watu waliokuwa wamekaa kimakundimakundi.
Imeelezwa kuwa fujo zilianzia mchana leo baada ya kiongozi wa Panya Road aitwaye Diamond kuuawa maeneo ya mpakani mwa Tandale na Mwananyamala darajani usiku wa kuamkia mwaka mpya kwa kukatwakatwa na mapanga.

Baada ya kumzika mwenzao leo, vijana hao wakajipanga kwa ajili ya kufanya fujo.
Usiku ulipoingia wakaanza kazi na kusababisha taharuki kwa wakazi wa Jiji la Dar.
Baadhi ya mashuhuda walioshuhudia matukio hayo wanadai vijana hao walikuwa na silaha mbalimbali yakiwemo mapanga na walivamia maeneo kadhaa zikiwemo baa.
Wateja waliokuwa katika baa ya Calabash iliyopo maeneo ya Mpakani, Mwenge walilazimika kuacha vinywaji vyao na kukimbia hovyo huku wengine wakikanyagana na kukatwa na vipande vya chupa kwa kile kilichodaiwa kuwa vijana hao walikuwa wanakatiza maeneo hayo japo hawakuingia ndani.

Baada ya tukio hilo wateja wengi waliamua kurudi majumbani kutokana na baadhi yao kujeruhiwa na vipande vya chupa wakati wakikimbia.

Sonko Went To The Beach with a Chopper to Spend With His Family

$
0
0

Like most of us, Mike Sonko took the time to spend with his family for the holidays. The Nairobi senator took with him adopted son Baby Satrine Osinya and his accommodating family to Mombasa.

Sonko earlier in the year adopted Baby Osinya after the ill fated terror attack on a church in Likoni. A very lucky Satrine who dodged a bullet has been having it good under the loving care of the Mbuvis.

Posting on his Facebook page, Sonko posted photos from their holiday at the beach and reiterated the importance of spending time with family.

Happy New Year from Baby Osinya and my Family….Its always important to Spend Time with your family members. There’s nothing that makes you more insane than family. Or more happy. Or more exasperated. Or more… secure. There is no such thing as fun for the whole family

Wema Sepetu Auza Gari Alilopewa Zawadi na Diamond, Adai Hataki Kuanza Mwaka na Gundu

$
0
0
Wema Sepetu na Diamond Enzi za Mapenzi Yao
Lile gari jipya aina ya Nissan  Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilompa aliyekuwa mwandani wake, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limezua mapya ambapo baada ya kudai linamchefua sasa anadaiwa kuwa analiuza kwa kigezo kwamba hataki gundu mwaka huu mpya wa 2015.

Inasemekana kwa sasa gari lipo kwa dalali analitafutia mteja wa fasta fasta as Wema Hataki Kulisikia kabisa wala kulitia machoni.

Agness Masogange Aanza Mwaka Vizuri Mpenzi Wake Amnunulia Gari Aina ya Benz ya Mwaka 2014

$
0
0

 Mrembo Agness Masogange Ambae hivi karibuni aliukana Uraia wa Tanzania na kuchukua Uraia wa South Africa ni ni kama Ameunza Mwaka Vizuri Baada ya Kupost meseji alizochat na mpenzi wake zikionesha mazungumzo yao kuhusu kununuliwa gari aina ya Benzi la Mwaka 2014 .

Soma Hapa chini:

Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri

$
0
0
Mwenzenu karibia naumbuka yaani nikiona mwanamke mwenye makalio makubwa nachanganyikiwa kabisa nakupoteza network, yaani inafikia mahali hata kama niko kwenye daladala naenda mahali akipanda mwanamke aliyejaliwa maeneo ya nyumba basi nihakikisha nashuka kituo atakachoshuka hata kama nikupitiliza napoenda naona sawa tu ili mradi nimpe maneno mawili matatu huyo mwanamke . 

Hii Tabia imenifanya nipoteza muda na mambo mengi ya msingi katika maisha yangu , moja kubwa nakumbuka mwaka jana niliitwa kwenye interview shiriki moja maeno ya Kijitonyama sayansi, nikiwa kwenye daladala kutokea mwenge kwenda posta nilijikuta nimefika posta kwa kumfuata mdada mmoja, baada ya hapo nikajikuta nimechelewa hiyo Interview na mbaya zaidi huyo dada hakutaka hata kuongea na mimi baada ya kushuka kwenye dalala.

Waungwana Naombeni ushauri nifanye nini niache hichi kitabia?

Vijana Waliofunga Safari Kwa Kutembea Kwa Miguu na Kuvaa Magunia Kuja Kumuona Rais Yaishia Mikononi mwa Polisi

$
0
0

Safari ya vijana wa tatu kutoka Nzega waliotembea siku 37 kwa miguu huku wamevaa magunia  kufikisha ujumbe kwa Rais Kikwete yaishia mikononi mwa Polisi.
Polisi Wamewakamata na kuwazuia wasiendelee na safari yao kwa vile hawakufuata utaratibu wa kumuona Rais na Pia hawana Kibali .

Vijana hao walikuwa wasisitiza hawana haja ya kuchukua kibali chochote wala kufuata utaratibu ila wanachotaka ni kumfikishia ujumbe Rais Kikwete.

President Jakaya Kikwete Appoints new Tanesco Board

$
0
0
President Jakaya Kikwete has appointed Dr Mighanda Manyahi a new chairman of the Tanesco board of directors. The appointment comes only few days after Parliament proposed that the old board be disbanded in the wake of Tegeta Escrow Account scandal.

Dr Manyahi takes over from Gen (rtd) Robert Mboma, who served in the capacity from October 2011. Following the appointment of the board chairman, the minister for Energy and Minerals, Prof Sospeter Muhongo, has appointed several people as board members.

According to acting permanent secretary, Mr Ngosi Mwihava, appointed members include Kissa Kilindu, Juma Mkobya, Dr Haji Semboja, Shaaban Kayungilo, Dr Mutesigwa Maingu, Boniface Muhegi, Felix Kibodya na Nyamajeje Weggoro.

Members of the outgoing board included Baruany Luhanga, Ridhiwan Ali Masudi, Leonard Masanja, Vintan Mbiro, Beatus Segeja, Hassan Ally Mbaruk, Abdul Ibrahim Kitula and Victor Mwambalaswa, who served as vice chairman.
Credits:Citizen

Wasanii wa Rwanda wachukizwa na kauli ya Diamond kuwa hawajitangazi kimataifa, mmoja amdiss jukwaani

$
0
0
Waswahili wanasema ukweli unauma na wakati mwingine pamoja na msemwa ukweli kuwa kipenzi cha Mungu, huonekana mwenye dharau.

Hiki ndicho kilimkuta Diamond Platnumz kwenye ziara yake nchini Rwanda. Wakati akiongea na waandishi wa habari mjini Kigali, Diamond alidai kuwa wasanii wa Rwanda hawajitangazi kimataifa.

Kauli hiyo haikuwaingia vyema baadhi ya wasanii wa Rwanda akiwemo Jay Polly aliyekuwa mmoja wa wale waliomsindikiza kwenye show yake jijini humo.

Mshindi huyo wa msimu wa nne wa shindano la muziki la PGGSS, alidai ni ukosefu wa heshima msanii mgeni kudharau muziki wa Rwanda ambao alidai upo mahala pazuri.



“Kuna msanii mgeni atakayetumbuiza hapa leo. Nilisikia kwenye habari akidai kuwa wasanii wa Rwanda hawajui wanachokifanya,” alisema msanii huyo mbele ya maelfu ya wapenzi wa muziki mjini Kigali waliokuwa wamekusanyika kwenye uwanja wa Amahoro.

“Hilo lina ukweli gani ? Mnakubaliana naye? Inawezekanaje kuwa hatujui?” “Muziki wa Rwanda utaendelea kuwepo. Tutaupeleka kwenye hatua tunayotaka lakini kwa kuona tulipo sasa, hakuna mwenye haki ya kusema hatujui tunachokifanya,” aliongeza rapper huyo.

Hata hivyo gazeti la New Times la Rwanda limedai kuwa show aliyotumbuiza Diamond ilithibitisha wazi utofauti wake na wasanii wa Rwanda.


“Ni wazi kuwa show ya Diamond ilisimama ukilinginisha na zile za mwanzo,” mmoja wa mashabiki waliohudhuria show hiyo aitwaye Nina Uwase aliliambia gazeti hilo.

“Kiukweli, baadhi ya wasanii iliwabidi waumeze ukweli huo unaouma na kuungana na umati wa watu kumshangilia Diamond wakati alipokuwa akidondosha show ya nguvu ambayo huenda ilimfanya Jay Polly kufikiria mara mbili kauli yake aliyoitoa awali,” limeandika gazeti hilo.
~Credits:Bongo5

Breaking News:Rais Jakaya Kikwete Ateua Mwanasheria Mpya Kuchukua Nafasi ya Aliyejiuzuru

$
0
0
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam. Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Kanye West no longer interested in having s3x with his wife Kim?

$
0
0

This pic above Kim shared it on instagram last night and wrote goodnight. Kanye looks a little uninterested. Anyway, back to the subject matter, there are reports (probably untrue) that Kanye has lost interest in sexing his wife on a regular basis & Kim has ordered him into s3x therapy

From The National Enquirer
"Kim Kardashian has ordered Kanye West into s3x therapy because he’s lost his libido! Kim is so offended that Kanye’s not as hot for her as he used to be. He’s so focused on his work that he’s barely spending any time with her,” said a family source. “And when they are together all he wants to do is sleep or play with North. “Rejected Kim, whose stress about her troubled marriage has prompted a serious psoriasis flare-up, signed them up for therapy classes to get the spark back into their relationship.”

Jokate: Sipendi Kutomaswa Kwenye Filamu!

$
0
0
Mwanamitindo na mwigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesema kuwa hapendi kuigiza sini za mapenzi hasa zile anazotakiwa kushikwashikwa na mwanaume hasa asiyemjua.

Jokate alifunguka hayo wakati paparazi wa GPL alipotaka kujua namna ambavyo wazazi na mpenzi wake wanavyolipokea suala la yeye kuigiza sini za kushikwashikwa na wanaume tofauti katika filamu ndipo alipofunguka kuwa suala hilo limekuwa likipigwa vita na wazazi wake lakini analazimika kufanya kwa sababu ndiyo kazi aliyoichagua.

“Wazazi wangu wanachukia sana jambo hili na huwa wanasema bora niache filamu, hata mimi mwenyewe huwa sipendi ila huwa navumilia kwa kuwa ni kazi, sina jinsi,” alisema Jokate.

Kijana Mwanafunzi Aliyemtukana Matusi Rais wa Kenya Mtandaoni Atupwa Jela

$
0
0
Mwanafunzi mmoja nchini Kenya amepewa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kumtukana rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika mtandao.
Alan Wadiu Okengo mwenye umri wa miaka 25 pia atalipa faini ya dola 2,200 la sivyo ahudumie kifungo chengine cha mwaka mmoja.

Alikuwa ameshtakiwa kwa kutoa matamshi ya chuki baada ya kusema kuwa watu wa kabila la rais la kikuyu wanafaa kuwekewa mipaka katika maeneo fulani.
Mwanablogu mashuhuri nchini humo pia alishtakiwa baada ya kumwita rais Uhuru Kenyatta 'rais ambaye hajakomaa'.

Wabongo Mpo? 

Lulu Michael Aongelea Swala la Ndoa Kubuma 2014, Aweka Malengo Mengine Kwa Sasa Kuolewa Majaliwa

$
0
0
Udaku Special
Mwigizaji lulu Michael Amekuwa Midomoni mwa watu wengi baada ya malengo aliyoyaweka 2014 ya kuolewa kubuma , Hivi karibuni amehabarisha na kusema ndoa mungu ndo anapanga hivyo kutokuolewa 2014 hakumpi shida, kwasasa amesema maswala ya kuolewa afikiriri mpaka labda baada ya miaka miwili kupita kama mola atajalia..
Paparazi alipomuuliza kama ana mchumba kwa sasa ama la lulu amekataa kusema lolote kuhusu hilo...

Hatimaye 'Panya Road' 36 Watiwa Mbaroni Dar es Salaam

$
0
0
Jeshi la polisi nchini linawashikilia vijana 36 wa kundi maarufu Panya Road wanaodaiwa kufanya vurugu na kupora mali za watu na kusababisha taharuki katika jiji la Dar es salaam.

Akitoa ufafanuzi wa taharuki hiyo msemaji wa jeshi la polisi SSP ADVERA BULIMBA ambaye mbali na kuwatoa hofu wananchi kuwa hali hiyo haitajitokeza tena amesema jeshi hilo limejipanga vizuri kukabiliana na vikundi vyovyote vinavyotaka kuvuruga amani ya nchi.

Pia amesema kwamba endapo polisi wasingewadhibiti vijana hao mapema tangu wakiwa makaburini baada ya kumzika mwenzao aliyeuawa na wananchi baada ya kuiba hali ingekuwa mbaya zadi.

Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images