Wadau ole sendeka amemsifu mh tundu lissu kwa uwezo aliounyesha kwenye haya masuala ya kikanuni bungeni. Ameenda mbali zaidi kwa kumshauri rais Jakaya Kikwete ampe uwaziri wa sheria na katiba! Uzalendo kwanza vyama baadae! Kama mtu anapiga kazi vizuri basi mpeni sifa na nafasi inayomfaaa......