WIMBO WA DIAMOND WASHIKA NUMBER MOJA TRACE TV....
Diamond Platnumz hashikiki kwa sasa. Kwa mujibu wa Trace TV, My Number One Remix ft Davido, ndio wimbo namba moja kwa sasa barani Afrika.Wimbo huo umekamata nafasi ya kwanza kwenye Top 10 ya chart ya...
View ArticleRAPPER WA SOMALIA K'NAAN NDIO MPENZI WA LUPITA NYONG'O
Zile speculation kuwa huenda star mpya wa Hollywood Lupita Nyong’o ana uhusiano wa siri na mwigizaji mwenzake Jared Leto zimezikwa na speculation mpya kuwa huenda rapper na mwimbaji wa Somalia aitwaye...
View ArticleBEN POL AINGIA KATIKA KASHFA NZITO..
Huu ni mtiririko wa matukio yanayomfikia Gossip Cop Soud Brown,leo tukio lililofikishwa mezani kwake ni la Ben Pol kuchukua pesa ya show na kisha kutoonekana kwenye show yenyewe iliyokuwa imeandaliwa...
View ArticleMOYES AAMUA KUWAANDIKIA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED
Kocha wa Manchester United David Moyes ameandika barua ya wazi kwa mashabiki wa klabu hiyo akielezea kwamba msimu wake wa kwanza ndani ya klabu umekuwa mbovu zaidi kuliko ilivyotegemewa.Akiwasifu...
View ArticleWAANDISHI WA HABARI WAFUNGIWA NJE BUNGE LA KATIBA
Bunge la Katiba limeamua kuweka kitanzi kwa uhuru wa wananchi kupata habari za mchakato wa Katiba Mpya, kwa kuwazuia waandishi wa habari kuingia kwenye Kamati 12 za wajumbe wa Bunge hilo zitakazojadili...
View ArticleKENYA NAO WATAKA SHERIA YA USHOGA
Nairobi. Mbunge Irungu Kang’ata anaongoza juhudi za kundi lililoundwa la kupinga wapenzi wa jinsia moja nchini Kenya. Sheria zilizopo zinasema ni hatia kwa watu kujiingiza katika tabia za ushoga na...
View ArticleCCM WAANZA KUVIZIANA BUNGENI
Wabunge wa CCM wamedaiwa kupokea vitisho, kama watakwenda kinyume na msimamo wa chama.Dodoma. Mpasuko miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM), umechukua...
View ArticleACCOUNT FAKE YA FACEBOOK YA KALA JAREMIAH YAZIDI KUDHALILISHA WANAMUZIKI SASA...
Hii akaunt sio akaunti halisi ya kala Jeremiah na hiki kinachoendelea katika akaunt hiyo ni wizi tena utapeli mkubwa, Ikiwa kama ww ni shabiki wa kala Jeremiah hiyo akaunt uta unlike maana imekaa...
View ArticleVIDEO YA D KNOB - NISHIKE MKONO FT. MWASITI ILIYOFANYWA NA NICK DIZZO
Video hii hapa chini imefanywa na Focus Media inayomilikiwa na Nick Dizzo Ambae zamani alikuwa E-media
View ArticleFLORA LYMO AMWAGIA SIFA KEDE KEDE MANGE KIMAMBI
Flora Lymo ameamua kufunguka kwenye Blog yake kuhusu Mange Kimambi na Haya ndio Aliyoandika:"Mama na Mwana'' Yani hii ndiyo sababu sana sana nikamuweka Mange kwenye hii Blog yenu ya maukweli matupu...
View ArticleMASTAA WENYE NYOTA ZA NGONO!
Stori: Hamida Hassan na Gladness MallyaMakubwa! Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahya ameanika nyota za baadhi ya mastaa wa Bongo katika kipengele cha mapenzi au ngono, Risasi...
View ArticleOLE SENDEKA AMSIFIA TUNDU LISSU BUNGENI..AMSHAURI RAIS JK AMPE UWAZIRI WA...
Wadau ole sendeka amemsifu mh tundu lissu kwa uwezo aliounyesha kwenye haya masuala ya kikanuni bungeni. Ameenda mbali zaidi kwa kumshauri rais Jakaya Kikwete ampe uwaziri wa sheria na katiba!Uzalendo...
View ArticleYALIYONIKUTA JANA SIWEZI RUDIA KUMPIGIA SIMU MWANAMKE YOYOTE USIKU
Yaliyonikuta jana siwezi rudia kumpigia simu mwanamke yoyote usikuKuna msichana nilikuwa namchukulia kama dada kwa sababu ni dada wa rafiki yangu na tumekuwa tukipigiana simu ata usiku yeye pia amekuwa...
View ArticleWOLPER ACHOMOA SKENDO YA KUTELEKEZA WAZAZI
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake.Baada ya taarifa hizo za chinichini kuzagaa, Wolper aliibuka na kuzikanusha:“Wazazi wangu ni matajiri...
View ArticleKURA YA SIRI, WAZI KAA LA MOTO BUNGE LA KATIBA
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, juzi na jana wamekuwa katika mtihani mgumu wa kufikia uamuzi wa pamoja kuhusu utaratibu wa upigaji kura, kati ya kura ya wazi na kura ya siri.Habari kutoka katika...
View ArticleTAARIFA KUHUSU KIJANA ALIYEJICHINJA NA SIME NDANI YA BASI..UNAAMBIWA BADO NI...
Hii ni habari ambayo ililipotiwa na vyombo mbalimbali vya habari kuhusu Abria aliyejichinja ambaye alikua msafiri wa kutoka Lindi kuelekea Dar es salaam,na bus alilosafiri nalo ni mali ya kampuni ya...
View ArticleMWANAFUNZI WA MZUMBE AJINYONGA HADI KUFA BAADA YA KUFELI MTIHANI
Usiku huu nimepokea taarifa za kusikitisha toka Mzumbe kutokana na kifo cha mwanafunzi aliyejinyonga baada ya kufeli.... Inasemakana kuwa Mwanafunzi huyo aliyekuwa anasoma Uchumi kwa ngazi ya Masters...
View ArticleETOO AMTHIHIRISHIA MOURINHO KUWA YEYE NI MZEE BAADA YA KUFUNGA BAO JANA
It was his first goal since Jose Mourinho was caught on camera questioning just how old the Cameroon striker even is, and Eto'o did not miss the opportunity to poke fun at the resulting controversy -...
View ArticleVICTORIA KIMANI AAMUA KUACHIA PICHA ZA TATOO ALIZOJICHORA MPAKA SEHEMU ZA SIRI
Victoria Kimani ameamua kujipamba na urembo wa Pwani kwa kujichora na tattoo za Henna.
View ArticleHOFU YA BUNGE LA KATIBA KUWEZA KUVUNJWA YATANDA
Mjadala wa namna ya kuamua Rasimu ya Katiba umezua hofu ya Bunge Maalumu la Katiba kuvunjika.Bunge hilo limeangia siku ya 21 kati ya 70 likiwa katika mjadala wa kupitisha kanuni, huku kukiwa na...
View Article