Gazeti moja la udaku Hapa nchini limehoji tabia ya Msanii wa Bongo Movies Lulu Michael Kupima Ukimwi Mara kwa mara Likidai ana nini mpaka Kila Mara afanye hivyo ..Limesema Wengi wanahohiji Kwa vile wanahisi kuwa anabadilisha wanaume mara kwa mara so kila wakati inabidi Apime ...Mmhhh kazi Kweli Kweli..
↧