TAKUKURU KWA KUSHIRIKIANA WADAU WA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA WAANDAA TAMASHA...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Megamark Ltd. Chedi Ngulu (kulia) akizungumza na waandishi wa habari juu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Bodi ya ushauri wa Umoja wa Afrika ya kupambana na Rushwa...
View ArticleRUSHWA SIO-KAA TAYARI KWA MUSIC SHOW YA NGUVU PALE ARUSHA VIWANJA VYA GENERAL...
Afrika ni bara lenye wingi wa rasilimali. Na ni kutokana na wingi huu wa rasilimali bara hili limekuwa ni chanzo cha rasilimali kwa bara lenyewe, mabara mengine na ulimwengu wote kwa ujumla kwa miaka,...
View ArticleMTIKILA "KUNA CHADEMA MBILI-"CHADEMA CHUMBANI NA CHADEMA SEBULENI"
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI,...
View ArticleLOOO! HUYU BINTI JIRANI YANGU MAJANGA MATUPU ANANITEGA MPAKA NAKARIBIA...
Huyu binti ambaye anaishi opposite my flat, anaishi na dada yake mkubwa, amemaliza elimu yake ya secondary. Mimi na dada yake tupo jirani sanakama majirani as if family moja. Dada yake siku za kazi...
View ArticleINADAIWA WAYNE ROONEY AMEPOTEZA NGUVU ZA KIUME BAADA YA KUPANDIKIZA NYWELE...
Mchezaji nyota wa timu ya Manchester United na England, Wayne Rooney anadaiwa alipoteza nguvu zake za kiume baada ya upandikizaji wa nywele mwaka janaKituo cha runinga cha KTN cha nchini Kenya, kimedai...
View ArticleCHADEMA HAKUKALIKI VIONGOZI WAZIDI KUJIUZULU-SINGITA NAPO KIMENUKA
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(chadema),Mkoani Singida, Wilfred Kitundu, amejiuzulu rasmi nafasi hiyo akipinga maamuzi ya Kamati Kuu kuwavua nyadhifa za uongozi viiongozi...
View ArticleTAARIFA YA CHADEMA MKOA WA ARUSHA BAADA YA OFISI ZAO KUCHOMWA MOTO
Matukio yanayokiandama chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] yamezidi kuchukua nafasi ambapo mkoani Arusha watu wasiojulikana wameshutumiwa kuchoma moto ofisi za chama hicho Jumanne tar 03 Dec...
View ArticleJOKATE MWOGELO KATIKA MUONEKANO MPYA-KAPENDEZA AMA LA?
Waonaje Hapo kapendeza ama Kachemka?
View ArticleTABIA YA LULU KUPIMA UKIMWI MARA KWA MARA YAWASHTUSHA WATU
Gazeti moja la udaku Hapa nchini limehoji tabia ya Msanii wa Bongo Movies Lulu Michael Kupima Ukimwi Mara kwa mara Likidai ana nini mpaka Kila Mara afanye hivyo ..Limesema Wengi wanahohiji Kwa vile...
View ArticleBWANA SAMATTA AIPELEKA KILIMANJARO STARS ROBO FAINAL KOMBE LA CHALENJI
Msambuliaji wa Kimataifa Bwana Samatta Jana Aliitoa Kimaso maso Tanzania Baada ya Kufunga Goli Pekee dhidi ya Team ya Burundi lililoipeleka Kilimanjaro Stars Robo Fainali Katika Mashindano ya Challenge...
View ArticleNISHA AMCHALENGE ADAMU JUMA WA NEXT LEVEL- ADAMU JUMA ATOA YA MOYONI
Baada ya Mtayarishaji wa Video Anaye kuja juu kwa Kasi kipindi hichi Nisha Kupost Picha hiyo hapo na maneno ambayo inaonekana ni dogo kwa Next level kampuni anayomilikiwa na Adamu Juma...Adamu...
View ArticlePAPA FRANCIS ADAIWA KUTOROKA USIKU MAKAO YA VATICAN
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amedaiwa kutoroka usiku Makao Vatican ili apate fursa ya kwenda kutoa misaada kwa walemavu na watu wasiojiweza.Tetesi za Papa Francis kuwatembelea...
View ArticleSINTAH AMUUNGA MKONO FLORA LYIMO KWA JINSI ANAVYOTANGAZA BIASHARA YAKE MTANDAONI
Alichokiandika Sinta Kuhusu Jinsi Flora lymo anavyotangaza Biashara online:Biashara ni matangazo na inapendeza sana ukiitangaza mweyewe muhusika kwa mfano mie nauza wedding dresses kutwa natangaza humu...
View ArticleSINEMA YA BABY MADAHA NA DIAMOND BADO INAENDELEA,DIAMOND NAE AFUNGUKA NA...
ACHANA na mabifu yaliyotangulia, hili ni jipya kabisaa! Msanii wa sinema na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ameingia kwenye bifu zito na Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ na kudai staa huyo wa...
View ArticleWEMA NA KADINDA KUNAN-NI UMENEJA TUU AU?
Katika Pita Pita zangu nimekutana na habari hii katika Gazeti moja linaloitwa Visa..Habari yenyewe inahoji ukaribu wa Wema Sepetu na Manager Wake Martin Kadinda....Limeandika hivi ....Madam Wema na...
View ArticleLULU "TOKA NITOKE JELA SIIJUI NGONO" ABADILI NUMBER MARA 13 KWA USUMBUFU WA...
Elizabeth Michael "Lulu " Amedai hajakutana na mtu yoyote kimapenzi toka atoke Jela ...Kwa mujibu wa chanzo chetu Muigizaji huyo nyota amesema licha ya Vishawishi vingi vya wanaume na wasagaji lakini...
View ArticleTASNIA YA BONGO MOVIES CHALI-KANUMBA ALIONDOKA NA KILA KITU-SASA WAMEBAKI...
Je ni kweli Steven Kanumba ameondoka na Kila kitu?Tangu Alipofariki Tasnia ya filamu Tanzania ni kama imelala usingizi wa Pono, Potelea mbali hata kama kuna watu bado wanaingiza mamilion ya pesa lakini...
View ArticleNANI ANABISHA-HII NDIO INTERVIEW YA DIAMOND ALIYOFANYA KENYA KWA KIINGEREZA TU
Tanzanian ‘My Number One’ hitmaker Diamond Platinumz made an appearance on Coke Studio Africa this past weekend. We had the chance to catch up with him and talk to him about his music and his...
View ArticleMIZENGO PINDA:MSHAHARA WANGU KAMA WAZIRI HAUZIDI SH MILION 6
Waziri Mkuu amedai bungeni muda huu kwamba mshahara wake hauzidi Tsh. 6mil na akadai wanaodai analipwa zaidi ya hapo ni uzushi mkubwa kiasi kwamba yeye ni mkopaji tu katika mabenki na kuwa mshahara huo...
View ArticleWASTARA "MTAMUONA MPENZI WANGU SOON KULIKO KUENEZA HABARI ZA UONGO"
Wastara amefunguka na kuliambia Gazeti moja la Udaku Maarufu hapa Bongo Kuwa Amechoka kusikingiziwa uongo wa kuhusishwa na wanaume mbali mbali ikiwemo huyo Mr Bond ambae Karibia Week mbili watu...
View Article