Nimekutana na Picha Mbali mbali za Mtangazaji Maarufu wa Redio One akiwa amepiga na watangazaji wa Clouds Fm Wakiwa Wanatoka Mapumziko/Semina Arusha ambapo walikuwa huko kwa Takribani Week moja...Anaye jua atujuze kama ninachoona ni sahihi......ama wamekutana tu uwanja wa ndege na kupiga picha nae....
↧