MTANGAZAJI MAARUFU GODWIN GONDWE KAHAMIA CLOUDS FM/TV ?
Nimekutana na Picha Mbali mbali za Mtangazaji Maarufu wa Redio One akiwa amepiga na watangazaji wa Clouds Fm Wakiwa Wanatoka Mapumziko/Semina Arusha ambapo walikuwa huko kwa Takribani Week moja...Anaye...
View ArticleMASHOGA WAZIDI KUONGEZEKA BONGO DSM....NINI HASA SABABU... AU WATEJA WAMEKUWA...
Nimepita pita huko mitaani hasa Kinondoni, kwenye mahotel ,ma bar na kumbi za starehe, Nimeshangaa sana kuona wakaka poa kibao, tena wamejiremba kama wadada vile, nao wakijiuza kama machangudoa, nini...
View ArticleHUU NDO UFUSKA WA MASTAA BONGO YANI HUWEZI AMINI KAMA WAO NDO WANAFANYA
Husna Idd 'Sajent' naye akionyesha machejo yake.NI laana! Baadhi ya mastaa wamenaswa laivu wakifanya vitendo vilivyotafsiriwa kuwa vya kifuska, Tukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo...
View Article"RAIS KIKWETE ALIKUWA SAHIHI HAKUKOSEA" KUNDI LA TANZANIA KWANZA
KITENDO cha baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kukosoa hatua ya Rais Jakaya Kikwete kutoa maoni yake kuhusu rasimu ya Katiba, kimekosolewa.Pia, imesisitizwa kuwa hakukosea kufanya hivyo na...
View ArticleMWANDISHI UINGEREZA AIBUA MAPYA MENO YA TEMBO TANZANIA.
Licha ya Rais Jakaya Kikwete kutoa ahadi ya kuteketeza maelfu ya meno ya tembo yaliyo kwenye ghala la Serikali, imeelezwa kuwa uwezekano huo ni mdogo.Mwandishi wa gazeti la Daily Mail la Uingereza,...
View ArticleNKAMIA "NTAYAFUNGIA NA KUFUTA MAGAZETI
VITISHO vya watendaji wa serikali kwa vyombo vya habari vimezidi kushika kasi, safari hii Naibu Waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni, Juma Nkamia, akitishia kuvifungia au kuvifuta.Nkamia amebainisha...
View ArticleKUAMBIANA: KIPIGO NILICHOWAPA WEMA SEPETU NA AUNT KIMEWAPA ADABU
Stori: Imelda Mtema‘DAIREKTA’ na muigizaji wa filamu Bongo, Adamu Phillip Kuambiana amefunguka kuwa kitendo cha kuwatia makofi waigizaji Wema Spetu na Aunt Ezekiel kilikuwa cha kiungwana sababu...
View ArticleCHRIS BROWN AZIDI KUCHANGANYIKIWA HALI WALA HALALI HUKO JELA
Chris Brown baada ya kuvunja sheria za rehab alifukuzwa na baadae kukamatwa, hivi sasa amewekwa jela kwa muda wa mwezi mmoja.Mtandao mmoja wa huko Marekani umeripoti kwamba Chris Brown yupo kwenye hali...
View ArticleMAUAJI MENGINE YA KIGAUDI YATOKEA KANISANI HUKO MOMBASA
Jana jumapili tarehe 23/3 watu kadhaa ambao wanasadikika kuwa ni magaidi wamevamia kanisa moja linalojulikana kwa jina la Joy Jesus Church huko Mombasa na kuanza kupiga risasi kanisani hapo.Mashuhuda...
View ArticleSTEVE NYERERE AMPATANISHA WOLPER NA MBAYA WAKE
Stori: Gladness MallyaCHUKUA tano! Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefanikiwa kumpatanisha Jacqueline Wolper Massawe na mbaya wake ambaye ni msanii mwenzake wa filamu...
View ArticleKUMEKUCHA DODOMA"TAMKO LA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WA KUNDI LA “TANZANIA...
Sisi Wajumbe Wa Bunge Maalum laKatiba tunaotoka makundi mbalimbali na pia tunaoamini katika kauli mbiu isemayo “TANZANIA KWANZA”, tunapenda kutoa tamko rasmi la kuunga mkono hotuba aliyoitoa Mheshimiwa...
View ArticleAGANO LA DAMU KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI
Unapohusiana na mtu kimapenzi unafanya naye agano la damu. Agano hilo maana yake ni kwamba wewe unakubaliana na kufungamana na sifa na tabia pamoja na vifungo vingine vyote kama vile laana, mizimu,...
View ArticleKWANINI UVAE NGUO FUPI MWENYEWE HALAFU UKOSE AMANI
Umevaa nguo fupi mwenyewe na ulivyotoka nyumbani ulijiona umependeza umefika njiani unaanza kuhangaika kuishusha kuziba mapaja au sehemu iliyo wazi, kwani ulivyo vaa hukulijua hili? Kama umea amua...
View ArticleMABAKI YA MIFUPA YA BINADAMU NA BINADAMU WANAO SUBIRIWA KUFA VYAGUNDULIKA...
Human skeletons, body parts, decomposing bodies, skulls and bones on bloodstained floors were discovered at an abandoned building in Soka, Oluyole LGA of Oyo State yesterday March 22nd. The bodies are...
View ArticleMSICHANA AMCHANA MWENZAKE NA KISU BAADA YA KUGUNDUA ANATOKA NA MWANAUME WAKE
Je Unaweza kufanya unyama kama huu ukisikia mtu wako anatoka kimapenzi na mtu mwingine? Basi hii imetokea hivi karibuni msichana mmoja baada ya kusikia boyfriend wake anatoka na msichana mwingine...
View ArticleANGALIA VIDEO MPYA YA SHILOLE -CHUNA BUZI-(EXPLICIT-WAKUBWA TU)
Video hii imetoka ila hii ni kwa ajili ya Mitandao tu kwani humo ndani ni maono matupu ..yakuonekana kwenye Tv itafuata soon.....Angalia hapa ujionee mwenyewe Buzi linavyochunwa
View ArticleAIR MALAYSIA PLAN IS LOST NOBODY SURVIVED-PM CONFIRMS THE AIRCRAFT CRASHED...
The missing Malaysian Airlines flight MH370 must be assumed lost with everybody on board dead - Prime Minister Najib Razak said today.At an emergency press conference, the Malaysian PM said that it is...
View ArticleUTABIRI WA TB JOSHUA WATIMIA-NI KWELI AIR MALAYSIA ILIANGUKA INDIAN OCEAN NA...
Baada ya ndege ya Air Malaysia kupotea Mtabiri TB Joshua Alisema Kuwa Ndege hiyo itakuwa imeanguka Kwenye Bahari ya Hindi na Hakuna Aliyepona ,,,Utabiri huo kwa wengi ulichukuliwa kama mzaha lakini leo...
View ArticleWEMA SEPETU JIPANGE: DIAMOND PLATNUMZ KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM...
Tunamtoa mtoto wetu mwingine toka kwa bwana #Moze_Iyobo na bi #Mwengi.... Eeh! Mwenyezi Mungu, wajaalie na hawa vijana wawili walio baki @emma_platnum na @tonser66wamalize haraka nao, ili Mtu mzima...
View ArticleSHOPRITE IMEUZWA WAFANYA KAZI WAGOMA NA KUANDAMANA MLIMANI CITY
Leo mida ya Jioni pale mlimani City nimeshuhudia wafanya kazi wa Duka Kubwa la Shoprite wakiwa wamegoma wakizua watu wasiingie kwenye duka hilo kwa kile kilichodaiwa kuwa duka hilo limeuzwa bila wao...
View Article