Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

HATA IWEJE AZAMU SASA NI BINGWA TU LIGI KUU

$
0
0
BEKI wa Simba Joseph Owino amesema kuwa kitakachowabeba Azam kuelekea ubingwa wa Bara ni wachezaji wa kutosha katika kila idara tofauti na siku za nyuma.

Owino ambaye ni raia wa Uganda alisema, “ Huwezi kuifananisha Azam ya sasa na ya zamani wakati tukicheza sisi kwani ya sasa inaonekana kuwa vizuri katika kila idara pia ina wachezaji vijana wengi.

“Azam ya sasa huwezi kuifananisha hata na Simba kwani kwetu sisi hatuna wachezaji, leo idara fulani inachemka kesho nyingine nayo inashindwa. Kwenye idara moja kama beki au viungo unaweza kuona leo upande mmoja uko vizuri, kesho yake ovyo.”

 Kwa nyakati tofauti Owino aliwahi kuichezea Simba 2009 hadi 2011 kisha akajiunga na Azam  2011 hadi 2012 kabla ya kurejea Msimbazi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>