HATI ZA MUUNGANO ZALETA UTATA BUNGE LA KATIBA
Utata umezidi kuibuka katika Bunge Maalumu la Katiba kutokana na kutopatikana kwa hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na ile ya Sheria ya Baraza la Mapinduzi ya kuridhia Mkataba wa...
View ArticleFANS ATTACK LUPITA NYONG'O ON INSTAGRAM, CALLS HER A "MONKEY"
Jamaa awa Wazungu ...Hawana hata aibu kumwita Binadamu Mwenzao hivyo ki ukweli hii imeniuma sana embu jionee
View ArticleKAJALA AWAJIBU WANAO MTUKANA INSTAGRAM "KANTANGAZE USIPONITANGAZA NITAKUTANGAZA"
Baada ya kushambuliwa sana huko Instagram kuhusu urafiki wake na Wema haya ndo majibu yake
View ArticleJAJI WARIOBA AISHANGAA SEREKALI..KWA MANENO YA KEJELI
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema waliokuwa wajumbe wa tume hiyo hawajawahi kudai malipo ya pensheni ya Sh200 milioni kama inavyodaiwa.“Wajumbe wa Tume...
View ArticleMAWAKALA, KAMPUNI ZA AJIRA ZAPIGWA STOP
Serikali imetoa miezi miwili kwa mawakala binafsi wa huduma za ajira kuacha mara moja kuajiri na kukodisha wafanyakazi, vinginevyo sheria kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika.Hatua hiyo inatokana na...
View ArticleTFDA YAFUNGA MADUKA YA SUPAMAKETI 29 JIJI DAR ES SALAAM
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imefunga maduka makubwa (supermarkets) 29 kwa makosa ya kufanya biashara bila vibali mpaka pale yatakapotimiza masharti ya sheria.Pamoja na hatua hiyo, pia TFDA...
View ArticleWAATHIRIKA WA MILIPUKO YA OSAMA UBALOZI WA MAREKANI WAFURAHIA FIDIA
Baadhi ya wanafamilia wa waliopoteza ndugu kwenye shambulio la ugaidi katika Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam mwaka 1998, wameelezea kufarijika kutokana na malipo ya fidia, licha ya kwamba...
View ArticleMWALIMU NCHINI KENYA AMCHAPA FIMBO MWANAFUNZI MPAKA KUFARIKI
Hii ni taarifa kutoka Kenya ambapo inasemekana Wazazi katika kaunti ya Kirinyaga mkoa wa Kati nchini Kenya wameandamana kwa hasira baada ya mwalimu mmoja kumchapa mtoto mmoja wa shule ya msingi hadi...
View ArticleHATA IWEJE AZAMU SASA NI BINGWA TU LIGI KUU
BEKI wa Simba Joseph Owino amesema kuwa kitakachowabeba Azam kuelekea ubingwa wa Bara ni wachezaji wa kutosha katika kila idara tofauti na siku za nyuma.Owino ambaye ni raia wa Uganda alisema, “ Huwezi...
View ArticleNISHA BWANA MPYA, GARI MPYA
Mwaka huu umekuwa wa mafanikio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ kutokana na kuvuta ndinga mpya na huku akidaiwa kutoka na mwanaume mpya.Kikizungumza na Ijumaa, chanzo ambacho ni...
View ArticleDUDE AWATOA NISHAI BONGO MUVI
Stori:Gladness MallyaSTAA wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amewatoa nishai viongozi wa Bongo Muvi kwa kueleza kuwa, risala iliyosomwa siku ya ‘bethidei’ yao ya kutimiza miaka mitatu imepotosha...
View ArticleNAY KUMUOA SIWEMA KABLA YA KUJIFUNGUA
Stori: MAYASA MARIWATAMWANAMUZIKI Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amesema yupo kwenye mikakati ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Siwema baada ya kumtundika...
View ArticleDAZ BABA AKANUSHA HABARI KUWA ANATUMIA MADAWA YA KULEVYA
Msanii wa zamani wa kundi la Daz Nundaz, Daz Baba amesema kuwa hatumii madawa ya kulevya kama watu wengi wanavyodhani.Muimbaji huyo ambaye wiki hii ameachia wimbo mpya uitwao ‘Jela’ amekiambia kipindi...
View ArticleWIMBO MPYA WA MICHAEL JACKSON NI FUNDISHO KWA WAZAZI..ALIANDIKA BAADA YA...
Wimbo mpya wa mfalme wa wa Pop, marehemu Michael Jackson uliopewa jina la ‘Do You Know Where Your Children Are? Ambao utatoka May mwaka huu umedaiwa kubeba ujumbe mzito kwa wazazi.Kwa mujibu wa ripoti...
View ArticleCOLLABO NYINGINE YA DIAMOND NA MWANAMUZIKI WA NIGERIA HII HAPA
Safari ya Diamond nchini Nigeria inaendelea kuzaa matunda kama alivyokusudia. Baada ya kushirikishwa na Waje, jana mkali huyo wa bongo flava aliingia booth na msanii mwingine mkubwa wa Nigeria, Dr...
View ArticleVYBZ KARTEL JAMAICAN DANCEHALL STAR SENTENCED TO LIFE IN PRISON
On March 13, embattled Jamaican rapper, songwriter and dancehall performer Vybz Kartel was found guilty of the August, 2011 murder of Clive “Lizard” Williams. Less than a month later, on April 3,...
View ArticleHOW TO BALANCE YOUR FINANCIAL PLAN AND PRIORITIES
The key is not to prioritise what is on your schedule, but to schedule your priorities – Stephen R. Covey, American author of ‘The Seven Habits of Highly Effective People’Indeed, very few people in the...
View ArticleUWEZI AMANI KAMA HAWA NI WANAFUNZI NA WAPO DARASANI...KUMBAF ZAO
Uwezi amini ukiona hii picha unaweza zani wapo kwenye mashindano ya umiss ama backstage wakibadili nguo kwa ajili ya show ....lakini ukweli hao walikuwa Darasani kabisa baadhi wakaamua kuchochojoa nguo...
View ArticleJE KUNA UKWELI WOWOTE KWAMBA MAKALIO NI ASSET KUBWA KWA MWANAMKE KULIKO SURA ?
Nimekuwa nikiona picha mbali mbali za wadada wakiwa wanapiga huku wamebinua makalio huko Instagram mpaka nafika najiuliza siku hizi makalio ndio chat ? Pia naona Wadada mbali mbali wanapata umaarufu...
View ArticleBEN POL AWATAKA WASANII WASIWE NA MTIMA NYONGO KWA DIAMOND NA AY
Msanii wa muziki wa R&B Ben Pol amewataka wasanii wenzake wa Tanzania kumuunga mkono Diamond na AY baada ya kuchaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye kampeni ya kilimo inayohamasisha vijana wa...
View Article