Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109482

TETESI ZA MJINI:NASIKIA MZIRAY NA MKEWE CHALI...MALI ZOTE KWISHNEY

$
0
0
Tetesi kutoka Jamii Forums....

"Juzi kati niko mitaa ya kati nang'arisha buti nikaambulia hizi story kwa watu wanaodai kuwa wanawafahamu sana hawa jamaa. Nilichoskia ni kuwa walikua wakikaa kwenye nyumba ya kupanga ambayo walikua wanalipa $5000 kwa mwezi, hela ilivyoanza kukata wakajaribu kuwekeza kwenye 'sembe', punda wawili waliowatuma wakang'ang'aniwa hela yote ikapotea. Hadi usawa huu nimeskia kuwa Richard na mkewe super model wamesitiriwa Mwananyamala kwenye servant kota ya nyumba ya mshkaji wao. magari yote hayo ya thamani wameyaweka bond kwa mazungu wa unga magomeni na wamechemsha kuyakomboa. Kingine nilichoskia ni kuwa washkaji sasa hivi ni mwendo wa daladala na bajaji kwa kwenda mbele. 

Nimeileta kwenu kama nilivyosikia, msinihukumu waungwana..."

By Kana-Ka-Nsungu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109482

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>