Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109450 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LULU MICHAEL"JAMANI WASICHANA TUINUKE TUACHANE NA MAMBO YA KUHONGWA NA MATAJIRI"

ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amewaasa wasichana wenzake kujitahidi kujishugulisha na kazi mbalimbali kuingiza ‘chapaa’ na wasiendekeze kuhongwa fedha na mapedeshee kwani ni aibu.Akistorisha na paparazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YABANWA KAITABA..ASHANTI WAISHIKA MBEYA CITY

WAKATI klabu ya Mbeya City ikibanwa jijini Dar es salaam na Ashanti United kwa kutoka sare ya kutofungana, mdudu wa sare aliibukia pia uwanja wa Kaitaba wakati kagera Sugar na Simba zilipofungana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TETESI ZA MJINI:NASIKIA MZIRAY NA MKEWE CHALI...MALI ZOTE KWISHNEY

Tetesi kutoka Jamii Forums...."Juzi kati niko mitaa ya kati nang'arisha buti nikaambulia hizi story kwa watu wanaodai kuwa wanawafahamu sana hawa jamaa. Nilichoskia ni kuwa walikua wakikaa kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKOSA YA KAKOBE KUMWANDIKIA BARUA RAIS KIKWETE HAYA HAPA

Wewe kama mtumishi wa Mungu hukutakiwa kuandika barua ikulu kwa sababu zifuatazokwanza kabisa kama mtumishi wa Mungu mzoefu ulitakiwa kukaa chini na kufikiri kabla ya kuandikaPili unamuandikia barua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"BABY KAMA HUWEZI KUJA KUNICHUKUA NAKUJA NA TAX, UTALIPA, KAMA HUWEZI BASI...

''Baby,kama huwezi kuja kunichukua nakuja na taxi utalipa,kama hutaki basi,mi siwezi kupanda Daladala Iam a DIVA''''Okay Baby,gari haina mafuta na sina hela ya taxi,kama huwezi kupanda daladala basi,I...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIMESHINDWA KUELEWA HAWA WANAFANYA NINI

Nimeshindwa kuelewa, hivi hawa wanafanya nini??? Au Wanacheza Ngololo ama Skelewuu....Embu Mdau tusaidiane....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDIO MSHIKAJI ANAYE LIFAIDI PENZI LA NICK MINAJ

American rapper Nicki Minaj and her boyfriend Sfree Samuels have been in a relationship for the past 10 years. The boyfriend actually has two tattoos of her face across his chest.These love birds spend...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EMBU MPE ZA USO HILI NJEMBA...NIMESHINDWA KUMWELEWA

Huyu Nadhani atakuwa na Akili za matope ....Mtoto anang'atwa na mbu yeye kajisokomeza kwenye net ya mtoto....mmhh Kubwa jinga....Kamtangazeni..

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZUNGU KICHAA AKANUSHA KUWA NA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA SALAMA JABIR

Msanii wa Denmark aliyeishi Tanzania muda mrefu, maarufu kama Mzungu Kichaa amezungumzia uvumi uliowahi kusambaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji wa kipindi cha ‘Mkasi’, Salama Jabir.Mzungu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI ZAIDI YA LAANA!! MWANAUME AFUMWA AKIMRA URODA MBWA WA JIKE

KATIKA hali ambayo ni ya kushangaza, mkazi wa Kata ya Majengo Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kukutwa akifanya ngono na mbwa.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA GRABS CHANCE AFTER KENYA TERROR DENT.."NOW ITS A SAFER DESTINATION"

Tanzania grabs chance after Kenya terror dentIn SummaryTanzania has however grabbed the chance, marketing itself in its neighbour’s strongholds as a safer destination.The officials are worried that the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAFANYA MAUAJI UWANJA WA TAIFA

TIMU ya Yanga imefanya mauaji baada ya kuishushia kipondo cha bao 5-1 timu ya JKT Ruvu katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi punde. Mabao ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAUZAUZA IRINGA: CHUNGU CHA AJABU CHAIBUKA JUU YA KABURI KIKITOKA DAMU

MAUZAUZA yametokea katika kaburi  la mtoto Agnes Mlawa (8) mkazi  wa Ilala  katika Manispaa ya  Iringa aliyezikwa mwaka  jana baada ya baba  wa  mtoto  huyo kukuta chungu cha ajabu chenye damu, maini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA WATOTO YA TANZANIA IMEINGIA FAINAL KOMBE LA DUNIA LA WATOTO WA MITAANI

Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imefanikiwa kuingia fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuifunga Marekani goli  6-1 katika mchezo wa kwanza wa nusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTU WA AJABU ANAYEKULA MAWE NA MATOFALI KAMA MLO WAKE WA KILA SIKU

Mama yake  huwa anamuandalia kuku kama chakula cha siku lakini anakataa na kutaka apewe vipande vya matofali.Kwa siku moja anakula vipande kadhaa vya matofali ambapo kwa makadirio huwa anakula kilo 3...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NILITAKA ANIGONGE TU KISHA ASEPE ZAKE...ILA KANING'ANG'ANIA..MWEE

Hi guys,i got a situation here...Ila i must say,am not a believer of TRUE LOVE and stuff like that (i used to believe zamani,nkaona ujinga)...There's this guy i had quite a 'good chemistry' with,and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WE..MWANAUME FANYA HAYA KAMA UNATAKA KUEPUKA KUCHUNWA NA MADEMU

Naongea na wale ambao tayari wamesha jitegemea kimaisha, ambao hawaishi na wazazi wao, wanaokumbana na mkono wa Mama/Baba mwenye nyumba kila baada ya miezi sita mitatu au mwaka..Wanaoishi ki-bachelor...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM KUPITIA KWA MGOMBEA WAKE RIDHIWANI YASHINDA KWA KISHINDO

Imekuwa ni furaha kubwa kwa wana ccm pande zote za tz kwa kuwabwaga chadema vibaya bila kuwaonea huruma even if walianza kutapatapa kwa kusema hawakutaka kushinda nia ilikua ni kukitangaza chama pwani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MILIONI 13 ZAZUSHA TIMBWILI LA HATARII,WEMA NA KAJALA NGUMI NONDO NJE NJE...

Stori: Imelda Mtema na Musa MatejaNI shida! Zile shilingi milioni 13 alizotoa Wema Isaac Sepetu kumlipia msanii maarufu wa sinema Bongo, Kajala Masanja asitupwe gerezani, bado ni tatizo ikidaiwa kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HENRY KILEWO AFYATUKA"RIDHIWANI HATA KAMA BABA YAKO NI RAIS HUWEZI KUKOSA...

Riziwani hata kama Baba yako ni Rais huwezi kukosa Adabu kiasi hiki na kufikia hatua ya kumtukana na kumdhalilisha Mzee Warioba kiasi hiki... Tunakuhakikishia Heshima ya Mzee warioba haiwezi kuvunjwa...

View Article
Browsing all 109450 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>