Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109498

DUDU BAYA AKANA TAARIFA ZILIZOZAGAA KUWA AMEMKATA MAMA YAKE MASIKIO

$
0
0
Siku ya leo zimesambaa habari katika mitatandao kuwa Mwanamuziki Dudubaya Amemkata Mama yake Masikio na amekimbia na kujificha huku Polisi wanamtafuta, Dudubaya Amehojiwa na Gossip Cop na kusema hata yeye anazisikia hizi habari na kupigiwa simu tu hajui chochote na wala hatafutwi na Polisi...Lakini amesema anajua wanao sambaza hizo Story ni ndugu zake mwenyewe ambao wanamuonea wivu baada ya kumjengea mama yake Nyumba.....

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109498

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>