Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109450

TB JOSHUA: UTABIRI WAKE WATIMIA: NIGERIA KUWA NUMBER 1 KIUCHUMI

$
0
0
Prophet TB Joshua alitabiri mwaka jana kwamba Nigeria itakua ya kwanza kiuchumi kushinda nchi zote za Africa.
Wakati anatabiri. ..nilikua nikiangalia nchi ya Africa Kusini, Misri etc.....niliwaza sana.
Jana Imetangazwa kuwa kwa sasa Nigeria inaongoza katika Uchumi Africa

Kweli huyu Baba ni Mtumishi wa Mungu wa karne hii.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 109450

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>