MAPACHA WALIOTENGANISHWA INDIA WAISHI KWA SHIDA
Mwezi mmoja baada ya pacha waliokuwa wameungana, Ericana na Eliud kurejea nyumbani mkoani Mbeya baada ya kutenganishwa huko India, imebainika kuwa sasa wanaishi maisha magumu.Pacha hao ambao habari zao...
View ArticleSOMA LA LEO:TUNAPOTEMBEA NA SEHEMU ZA MIILI YETU ZILIZOKUFA
Mzee mmoja, Salim Keni wa Makongorosi huko Chunya mkoani Mbeya, anasema kuwa siku moja alishangazwa sana na kauli ya mtoto wake wa miaka kumi. Anasema alikuwa amekaa nje ya nyumba yake jioni. Hapo...
View ArticleKUJICHUA AMA KUPIGA PUNYETO KWA MWANAMKE
Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puri au punyeto sounds manly) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake tufanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable”...
View ArticleMTOTO MWENYE UMRI WA MIEZI SITA ASHITAKIWA KWA MAUAJI NA KUTISHIA POLISI
A nine-month-old boy charged with planning a murder, threatening police and interfering with state affairs in Pakistan has been granted bail after appearing in court this week.Toddler Muhammad Mosa...
View ArticleAUNT EZEKIEL ATIMULIWA KWA WEMA! AITWA MNAFIKI
Stori: IMELDA MTEMATIMBWILI la aina yake limetokea nyumbani kwa ‘Beautiful Onyinye’ wa Bongo, Wema Sepetu, kati ya Martin Kadinda na nyota wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, ‘Kubwa’ lina kisa...
View ArticleCHADEMA KANUSHENI YANAYOSEMWA KATIKA HII VIDEO
Nimekutana nayo mahali hii video ....Mweee...Nadhani Chadema wanalakusema kuhusu hii Video:
View ArticleMUME AMWAGIA TINDIKALI MKEWE NA KUMHARIBU USONI JIONEE HAPA
MARIA Nkwabi [33] Mkazi wa Kijiji cha Kakola akiwa katika Hospitali ya wilaya ya Kahama baada ya kumwagiwa Tindikali na Mumewe;Ray Chobe katika ugomvi unaodaiwa kugombea mali.Jeshi la Polisi Wilayani...
View ArticleSIRI NZITO ZA ALIKIBA ZAFICHUKA!!! SOMA HAPA
Wasanii wengi wa fani mbali mbali kuanzia filamu hadi bongo fleva, wamekuwa wakipoteza mashabiki wao wengi kutokana na ile hali tu ya jinsi anavyochukulia umaarufu wake, kama anatumia umaarufu wake...
View ArticleSNURA WA MAJANGA MIKONONI MWA DJ WA MAISHA CLUB..WATUPIA PICHA WAKIWA BED
Msanii Snura ajikuta akinasa kwa deeJay wa Club Maisha ya Mbeya ''Dvj Hunter''
View ArticleUKARIBU WA DIAMOND PLATNUMZ NA DJ FETTY MTAANI WAGEUKA MAJANGA, SOMA ZAID HAPA
Hot in town is concerning the relationship waliokuwa nao between dj fetty na diamond the platnumz, Kumekuwa na rumors kuwa haiwezikana watu wawili hao wakawa na ukaribu kiasi hicho, kiasi ambacho...
View ArticleDIAMOND ASHIKA NUMBER 3 KATIKA WASANII 20 WA KORA AWARDS WEEK HII
Tuzo za KORA ambazo ndizo tuzo kubwa zaidi Afrika zimekuwa zikitoa orodha ya wasanii 20 bora zaidi wa Afrika waliopigiwa kura na mashabiki kupitia ukurasa wake wa Facebook, na wiki hii pia Diamond...
View ArticleKELVIN YONDANI APOTEA YANGA AKIWA SAFARINI KUELEKEA ARUSHA
Beki Kelvin Yondani hajulikani alipo, uongozi haujui na hata benchi la ufundi halitaki kulizungumzia suala Lake. Kocha Msaidizi, Charles Boniface Mkwasa amesema hajui lolote kuhusiana na beki huyo na...
View ArticleKENYA AIRWAYS YAACHA NJIA JNIA..UWANJA WAFUNGWA NDEGE ZINGINE ZATUA ZANZIBAR
Ndege ya kampuni ya Kenya Airways imetua pembeni ya njia kuu yaani runway na kushindwa kutua salama kama inavyotakiwa uwanja wa ndege wa JNIA.Hata hivyo shukrani za pekee zimwendee rubani wa ndege hiyo...
View ArticleTB JOSHUA: UTABIRI WAKE WATIMIA: NIGERIA KUWA NUMBER 1 KIUCHUMI
Prophet TB Joshua alitabiri mwaka jana kwamba Nigeria itakua ya kwanza kiuchumi kushinda nchi zote za Africa.Wakati anatabiri. ..nilikua nikiangalia nchi ya Africa Kusini, Misri etc.....niliwaza...
View ArticleTAMKO LA RASMI KUHUSU URAIA PACHA KUTOKA KWA WATANZANIA WAISHIO WASHINGTON DC
Sisi watanzania wa Washington DC, Maryland na Virginia pamoja na vizazi vyetu tunapenda kutoa pongezi kwa Serikali yetu ya Tanzania kwa Mchakato mzima wa Katiba mpya unaoendelea.Tunapenda Kutoa Tamko...
View ArticleKUHUSU HABARI ZA MSANII SHETTA KUPATA AJALI YA GARI
Msanii Shetta wa bongofleva amepata ajali ya gari maeneo ya Minjingu akielekea Babati kwa ajili ya kufanya show ambayo maamuzi ya kuifanya yalikuja dakika za mwisho.Wakiwahi show kwa kutumia usafiri wa...
View ArticleNANI ZAIDI:MASOGANGE AKUTANA NA MWENYE MAKALIO MAKUBWA KAMA YAKE NA...
MODO anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ amepata mpinzani lakini akachomoa kuhusu suala la kufunikwa.Masogange alizungumza hayo juzikati baada ya kukutana na mrembo aliyejulikana...
View ArticleWABUNGE WETU HAO....UNASEMAJE KUHUSU HII PICHA ?
Ni kama anasema "Mzee embu weka pozi moja kali hapo nikufotoe picha kali ya kuweka Facebook , Hapo hapo Kaka...."
View ArticlePICHA KADHAA ZA AJALI YA NDEGE YA KENYA AIRWAYS ILIYOTOKEA JANA JNIA
Dar es salaam imekua ikipokea mvua kubwa sana kwenye siku hizi za karibuni ambayo imehusika sana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kwa watu kuonyesha jinsi madimbwi yalivyotawala hata kwenye sehemu...
View ArticleBAADA YA OSTAZ JUMA KUTANGAZA NDOA KUMUOA JOHARI, JOHARI AFUNGUKA "OSTAZ HANA...
NI mtafutano! Staa mkubwa wa sinema za Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameingia kwenye vita ya maneno na bosi wa Mtanashati Entertainment, Ostaz Juma Namusoma ikiwa ni siku chache tangu jamaa huyo...
View Article