Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109450

MOROGORO NAPO HALI YA MAFURIKO ILIKUWA HIVI JANA

$
0
0
Hapa ni Morogoro maneneo ya Mafisa. Yaani hii kitu si mchezo jamani ni janga la taifa zima. Tuungunae kwa pamoja kuwaombea na kuwasaidia pale tunapo weza ndugu zetu waliathirika na mvua hizi. Mungu awafanyie wepesi na poleni sana.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109450

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>