KABURI LA SHEIKH YAHYA HUSSEIN LAFUKULIWA
Makaburi mawili ya Sheikh Yahya Hussein na Sheikh Kaseem Bin Jumaa yamevunjwa na mgambo wa jiji saa nane usiku eneo la Tambaza, makaburi ambayo yana muda mrefu katika eno hilo.Hata hivyo haijajulikana...
View ArticleMWISHO MWAMPAMBA:KAZI MPYA, NYUMBA MPYA NA FAMILIA INA AFYA NJEMA-AM HAPPY
Huenda mwakilishi wa mara mbili wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa, Mwisho Mwapamba anaufurahia zaidi wimbo wa Pharrell Williams, ‘Happy’ kuliko mtu mwingine yeyote.“Nashukuru sanaa...
View ArticleJUMA NATURE:JOKATE AMENIIGA KWA KUINGIA KATIKA BIASHARA YA NDALA
Chelewa chelewa, utakuta mwana sio wako!! Ndicho kilichotokea kwa Juma Nature ambaye wazo lake la kuanzisha ndala liliendelea kuwa la mdomoni na ‘kutalk the talk’ ilhali Jokate Mwegelo akileta action...
View ArticleDARAJA LINALOTENGENISHA DAR NA BAGAMOYO LAVUNJIKA..HAKUNA MAWASILIANO
Daraja linalotengenisha Dar es salaam na Bagamoyo lililopo maeneo ya Bunju B limevunjika na kufanya kutokuwepo mawasiliano kati ya Dar na Bagamoyo....Nimepata habari kuwa mtu wa Bagamoyo akitaka kuja...
View ArticleJINSI MAFURIKO YANAVYOLITESA JIJI LA DAR..ANGALIA PICHA
Mburahati na Mayfair leo asubuhiTokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya Dar es Salaam, zimepelekea uharibufu wa barabara na mazingira.Haya ni maeneo ya jiji la Dar es Salaam...
View ArticleNIMESIKITISHWA NA KUKATISHWA KWA HOTUBA YA TUNDU LISSU TBC
Nimesikitishwa na kitendo cha Redio FM station 87.5 inayodhaniwa kuwa TBC kukatisha maelezo ya Mweshimiwa Tundu Lissu kwenye Bunge la katiba kama kamati ya nne. Alieleza kwa namna ambavyo Muungano...
View ArticleKWA TABIA HII NIMECHOKA MKE WANGU....
Hebu nipeni ushari mke wangu ananichosha kwa kutokukaa nyumbani.Kwa sasa tunaishi karibu sana na familia yangu yaaani nyumba ninayoishi na kwetu ni kama mita 20 basi mke wangu anapenda sana kuenda kwa...
View ArticleMASKINI BABA WA WATU...ONA MVUA ILIVYOMFANYA
Gari lake likiwa linakaribia kufunikwa na Maji huku eye akiwa juu ya mti bado ajaamini kinachotokea.....Kama maji yataendelea basi kulala juu ya mti leo panahusika
View ArticleBREAKING NEWS:DARAJA JINGINE JIJINI DAR LAKATIKA JIONI HIII
Habari zenu wakuu,..Ni daraja la Mzinga huko Mbagala Kongowe,.Hili ni daraja la pili ukitoa lile la bunju nalo lililovunjika leo, pia daraja la Jangwani pia lipo hatarini kuvunjika kutokana hizi mvua...
View ArticleMAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA YA...
UTANGULIZIMheshimiwa Mwenyekiti,Sura ya Kwanza na Sura ya Sita ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (‘Rasimu’) ndizo msingi ambao Rasimu yote imejengwa juu yao. Wakati Sura ya Kwanza...
View ArticleMOROGORO NAPO HALI YA MAFURIKO ILIKUWA HIVI JANA
Hapa ni Morogoro maneneo ya Mafisa. Yaani hii kitu si mchezo jamani ni janga la taifa zima. Tuungunae kwa pamoja kuwaombea na kuwasaidia pale tunapo weza ndugu zetu waliathirika na mvua hizi. Mungu...
View ArticleMAGARI YA TOYOTA YAKUTWA NA HITILAFU ..KURUDISHWA JAPAN KUREKEBISHWA
Kampuni ya Toyota Tanzania inatarajia kutoa tangazo ili kufafanua juu ya urejeshwaji magari yaliyobainika kuwa na kasoro za kiufundi.Hatua hiyo imekuja baada ya kampuni hiyo, yenye makao yake makuu...
View ArticleMIRUNGI YAINGIZWA NCHINI KWA NJIIA YA VIDONGE....YAITWA MIRUNGI KIDONGE
Unapolitaja neno ‘mirungi’ macho na hisia zako zitakupeleka katika dawa za kulevya zilizo katika mfumo wa majani au mimea ambazo ni maarufu Afrika Mashariki. Hapa nchini mirungi imeharamishwa kulingana...
View ArticleVIDEO:DRAKE AVAA WINGI ILI ASIJULIKANE NA KUINGIA MTAANI KUWAHOJI WATU...
Inahitaji moyo wa ziada kuingia mtaani na kuwahoji watu wewe mwenyewe kuhusu ‘wewe’ na kisha kupata baadhi ya maoni hasi na yanayokuponda moja kwa moja kutoka kwa watu wanaodhani wanaongea na mtu...
View ArticleJAY DEE AOMBA RADHI KWA KUAHIRISHA SHOW YA UZINDUZI KWA AJILI YA MAFURIKO
Mvua inayoendelea kunyesha kwa wingi katika eneo la Dar es Salaam na maeneo mengine nchini imeripotiwa kusababisha athari kubwa ikiwa ni pamoja na uharibifu wa makazi na miundo mbinu.Hali hiyo...
View ArticleWASICHANA WA CHUO KIMOJA DODOMA WAJIREKODI WAKIFUNDISHANA JINSI YA KUFANYA...
Huwezi Amani eti Hawa Nao wazazi wamewalipia ada kwenda kusoma badala yake wanakuja kufundishana jinsi ya kufanya ngono...Hawa ni wanafunzi wa Chuo kimoja Maarufu Dodoma Jina Kapuni..Angalia hiyo Video...
View ArticleDARAJA LA BAGAMOYO BUNJU SI LA LEO WALA KESHO-LAZIDI KUBOMOKA..JITIHADA ZA...
Muda huu Nipo hapa Daraja Linalotengenisha Bagamoyo na Dar Hali niliyoikuta jana na leo ni tofauti naona shimo limezidi kuwa kubwa Japo Bado jitihada za kuweka Mawe na Mchanga zinaendelea ila kwa jinsi...
View ArticleVIDEO:UCHAFU UNAOFANYWA NA WACHEZA VIGODORO...SEREKALI HAMJALIONA HILI ?
Jamani hii inatia hadi kinyaaaa.....Hivi Kweli Watanzania tumefikia Kiasi Hichi ...Nilikuwa sijawahi ona Video za Vigodoro nilikuwa nasikia tu juu kwa juu ila hii Video Imenionesha nini Huwa...
View ArticleVIDEO:MWANAMUZIKI RAY C AKIWA STUDIO AKIREKODI WIMBO MPYA
Ni kitambo toka Ray C kuonekana kwenye muziki mpya baada ya ukimya wa muda mrefu uliotokana pia na utumiaji wa dawa za kulevya ambao anakiri ulimrudisha sana nyumba kimaisha.Legendary Music-Tanzania...
View Article