Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109446

VIDEO:MWANAMUZIKI RAY C AKIWA STUDIO AKIREKODI WIMBO MPYA

$
0
0
Ni kitambo toka Ray C kuonekana kwenye muziki mpya baada ya ukimya wa muda mrefu uliotokana pia na utumiaji wa dawa za kulevya ambao anakiri ulimrudisha sana nyumba kimaisha.
Legendary Music-Tanzania wanasema ‘mwanadada Ray C akiwa ndani ya Legendary Music Studio akirekodi moja kati ya nyimbo zake Mpya. It was a good experience working with such a Big Tanzanian and East African Female Artist. Stay tuned for more good music from Legendary Music-Tanzania’

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109446

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>