$ 0 0 Kocha David Moyes ameondolewa rasmi kwenye majukumu yake ya ukocha katika klabu ya Manchester United. Taarifa rasmi ya klabu hiyo imetolewa kupitia mtandao wa Twitter unaweza kuicheki hapo chini……