MWANAMUZIKI ALIYEJIKATA UUME YABAINIKA ALITUMIA MADAWA YA KULEVYA HATARI
Rapper wa Marekani, Andre Johnson aliyejaribu kujiua kwa kujikata uume wake aliwashangaza wengi kwa kuwa kitendo hicho sio cha kawaida na wengi walitaka kufahamu sababu hasa iliyompelekea kufanya...
View ArticleDRAKE AMNUNULIA RIHANNA PETE YENYE THAMANI YA SHILINGI MILION 68
Drake na Rihanna wanaendelea kushibana na penzi lao linachanua huku wakiripotiwa kuwa na mpango wa kuishi pamoja.Kwa mujibu wa gazeti la Daily Star, chanzo kimoja kimeeleza kuwa Drake amemnunulia...
View ArticleKUMBE RAISI HANA UWEZO WA KUWAFUKUZA UKAWA BUNGE LA KATIBA NA KULETA WENGINE
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema Rais Jakaya Kikwete hana uwezo kisheria wa kuwafukuza au kutengua uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.Jaji Werema alisema Sheria...
View ArticleONE MINUTE WOMAN....NAFIKA KILELENI HARAKA SANA KABLA MPENZI HAJARIDHIKA
Napata wakati mgumu sana tuwapo kwenye 6x6 kwani nawahi sana kufika Kileleni, Yaani within 1min tayari nakuwa nimefika na nikishafika nakosa hamu kabisa ya kuendelea na kumsukuma boyfriend wangu...
View ArticleKAKOBE "TANGANYIKA HURU LAZIMA IPATIKANE....NYERERE SIO MUNGU NAYE ALIKUWA NA...
Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane nisuala la muda tuNchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefukwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetuMoto wa kudai Tanganyika umewaka na hamnamtu awezaye...
View ArticleHIVI ZITTO KABWE NAE PIA ANASHIRIKI KATIKA HARAKATI ZA UKAWA?
Wadau hivi Zitto Kabwe pamoja na kuonekana ni mamluki na ukizingatia mmgogoro uliopo kati yake na CHADEMA ,Vipi hali yake kwenye hii movement ya UKAWA .. au wamemtenga na huku . ?? Kwa Anaye Jua Atujuze
View ArticleVIDEO YA IZZO B ILIYOFANYWA NA DIRECTOR NICK DIZZO YACHEZWA CHANEL O
Harakati za kuuvusha muziki wa Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania ni pamoja na kupata airtime kwenye vituo vya kimataifa ambapo Channel O ni kituo mojawapo kati ya vituo vinavyoaminika kwa kusambaza...
View ArticleMANENO YA LUKUVI YATIMIA CHADEMA NAYO IMEINGIA KATIKA MTEGO MZITO
Hapa kuna ajenda za siri ukweli mchungu ni huu hapa na nitaendelea kuwaletea siku hadi siku hata kama ni mchungu lakini ndio dawa sasa. UKAWA sasa imeingia kwenye mtego mzito wa UAMSHO na upande wa...
View ArticleNDUGU WANAOKULA NYAMA ZA MAITI WAKAMATWA TENA
Watu wawili wanaotuhumiwa kula nyama za binadamu wamekamatwa baada ya kichwa cha mtoto wa miaka mitatu, kukutwa katika nyumba wanayoishi nchini Pakistan.Polisi waligundua tukio hilo la kutisha na...
View ArticleMAASKOFU 32 WAUNGA MKONO RASIMU YA WARIOBA KAMA ILIVYO
Katika salama za pasaka viongozi wa dini wa katoliki 32 wamesema maoni ya wananchi katika rasimu ndio msingi wa katiba hivyo wamewataka wajumbe wa bunge la katiba wa yaheshimu kama yalivyo wasilishwa...
View ArticleTID, RECHO THT WADAIWA NI WAPENZI
MALOVEE? Bosi wa Top Band, Khaleed Mohamed ‘TID’ au ‘Mzee Mnyama’ na mtoto mzuri kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat ‘Recho THT’, wanadaiwa kuwa na uhusiano uliotafsiriwa ni wa...
View ArticleBABY MADAHA AJIBU MAPIGO KWA STEVE NYERERE
Stori: Nyemo ChilonganiVITA ni vita! Mwanadashosti anayesukuma maisha laifu kupitia filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha amesema anamshangaa Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steve...
View ArticleRIYAMA NJIA PANDA KWA MITUNGI
Stori: Erick EvaristMh! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Riyama Ally, amejikuta akiwa njia panda baada ya kutakiwa kunywa pombe ya kienyeji aina ya ugimbi ambayo hajawahi kunywa maishani mwake.Riyama...
View ArticleWEMA, PENNY WAIPASUA FAMILIA YA DIAMOND
Stori: GLADNESS MALLYA NA CHANDE ABDALLAHBOOOM! Katika hali ya kushangaza, mastaa wawili Bongo, mwigizaji Wema Isaac Sepetu na mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ wanadaiwa kuipasua familia ya...
View ArticleWEMA SEPETU NDIYE IJUMAA SEXIEST GIRL
STAA wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest Girls akiwabwaga Elizabeth Michael ‘Lulu’, Nelly Kamwelu, Jacqueline Wolper na Jokate Mwegelo usiku huu ndani...
View ArticleKUMBE WEMA SEPETU NA GLOBAL PUBLISHERS NI DAMU DAMU
Juzi tu Wema Alienda Ofisi za Global Publishers na kuanzisha Timbili la Haja kwa kudai kuwa wanamfuatilia sana na kumwandika Sana kwenye Magazeti yao..Nikiamini Wema Sepetu na Global Publishers ni...
View ArticleDAVID MOYES KUACHISHWA KAZI MUDA WOWOTE KUANZIA LEO
Vyombo vya habari vya Uingereza, likiwemo Mail on Sunday vimeripoti kuwa David Moyes ataachishwa kazi wiki chache zijazo na kwamba anaweza kuachiswa hata leo au keshoWamiliki wa timu hiyo, familia ya...
View ArticleWASANII AFRICA MASHARIKI WAJIPANGA KUZISUSIA TUZO ZA MTV AFRICA MUSIC AWARDS
Website ya Nairobi News imeripoti kuwa wasanii wa Afrika Mashariki wanapanga kuzisusia tuzo za MTV Africa Music Awards, MAMA.Wasanii hao wanazishutumu tuzo hizo kwa kutozitendea haki nchini za Afrika...
View ArticleMANCHESTER UNITED YAMTIMUA NA KUMRUSHIA VIRAGO DAVID MOYES
Kocha David Moyes ameondolewa rasmi kwenye majukumu yake ya ukocha katika klabu ya Manchester United. Taarifa rasmi ya klabu hiyo imetolewa kupitia mtandao wa Twitter unaweza kuicheki hapo chini……
View ArticleBAADA YA DAVID MOYES KUFUKUZWA MAN U HUYU NDIO KOCHA MPYA
Kutokana na kutofanya vizuri chini ya uongozi wake David Moyes hatimaye leo April 22 Manchester United wamemtangaza Mchezaji wa siku nyingi wa Manchester United Ryan Giggs kukabidhiwa kwa muda mikoba...
View Article