Mwanamke Ukitaka kuonekana Mrembo na Mwenye Afya Njema Basi Siku Moja Moja Kupiga Mazoezi itakuongezea Muonekana Mzuri Mbele za Watu, Piga Mazoezi Chumbani Mwako sio lazima uende Gim, ila Kama Pesa Inaruhusu basi nenda Gim Kama wakinafulani fulani ....