Karibu ACT-TANZANIA, wewe ndio mbadala wa CHADEMA na CCM
Chama kilichovunja rekodi kwa kupata usajili wa kudumu miezi michache mara baada ya usajili wa muda; ACT-TANZANIA leo ndio kimekabidhiwa cheti chake cha usajili wa kudumu rasmi na masajili wa vyama vya...
View ArticleDIAMOND "Behind Every Man's Success There is a Strong Woman, Now These are my...
Diamondplatnumz12 hours agoThey say Behind every Man's success there is a strong Woman... Now these are my Starrings...without forgetting my all luvyly and Beautiful, Aunties and sisters 👊👊👊👊...
View ArticleTeam Lemutuz Watupiana Maneno na TeamUkwelinaUwazi Instagram Kisa Ugomvi wa...
Ilianza Hivi:Teamukwelinauwazi3 days agoHuyu Lemutuzi nae ni mbulula wa kwanza Tanzania kama wewe kweli hawa ni superfriends zako unashindwaje sasa kuwaweka chini ukaongea nao na ukajua chanZo cha...
View ArticleCUF: Wasiotaka Serikali ya Umoja wafukuzwe
Zanzibar. Chama cha Wananchi (CUF) kimesema wanasiasa wanaojadili suala la kuendelea au kutokuendelea na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), wanastahili kujiuzulu au kufukuzwa ndani ya vyama vyao.Kauli...
View ArticleBunge la Bajeti Laanza Leo kwa Posho Mpya
Dodoma. Bunge la Bajeti linaanza leo mjini Dodoma huku wabunge wakitarajiwa kuanza kulipwa viwango vipya vya posho, ambazo ni Sh300,000 kwa siku sawa na kiwango wanacholipwa wajumbe wa Bunge Maalumu la...
View ArticleMange Kimambi Afunguka Kuhusu Mpoki Kuzidisha Utani Siku ya Tuzo za Kilimanjaro
Watu Wengi Wamekosoa na wengine kusifia Alichofanya Mpoki siku ya Tuzo za Kilimanjaro Music Kwa Kile Alichokuwa Akifanya Jukwaani kwa Kutania Matani ya Live Live kwa Wahuzuriaji na Wasaniii Siku hiyo...
View ArticleNdoa Haina Mwenyewe Bana...Kama Unabisha Angalia Watu Wanao Oa na Kuolewa
Ukitaka Kujua NDOA HAINA mwenyewe angalia watu wanaoolewa na kuoa...Ni wale usiowategemea kabisaaaaaaaaNdoa haina Kanuni...Kwamba ukifuata Stage 1,Ukavuka Stage 2 basi unaqualify...WALAAAAKuna watu na...
View ArticleUrembo Kwa Mwanamke Mazoezi ni Muhimu
Mwanamke Ukitaka kuonekana Mrembo na Mwenye Afya Njema Basi Siku Moja Moja Kupiga Mazoezi itakuongezea Muonekana Mzuri Mbele za Watu, Piga Mazoezi Chumbani Mwako sio lazima uende Gim, ila Kama Pesa...
View ArticleMganga wa Diamond Aibuka na Mapya Baada ya Tuzo Saba
Yule mganga maarufu wa mastaa nchini ambaealiwahi kutangaza kuwa amekuwa na ukaribu namwanamuziki Diamond ameibuka na kusemakuwa tuzo hizo saba alizozipata zinamaanakubwa sana kwenye kazi zake...
View ArticleMwanamuzi wa Kenya Jaquar Aanza Maringo Agomea Mwaliko wa Kill Awards..Kisa...
Post hii ni maalum kwa staa wa muziki wa Kenya anaetajwa kuingia kwenye TOP 5 ya Wasanii matajiri wa muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki huku orodha hiyo ikiwa na watu wengine kama Jose...
View ArticleMeninah-Mwanamke Mrembo Katika Tasnia ya Bongo Flava
Hakika ni Mrembo wa Haja Anayewakilisha Vyema Wanawake katika Tasnia ya Music wa Bongo Flava....Nani mwingine anakutia uzuri wake kati ya waimbaji wa Kike wa Bongo Flava?
View ArticleChungu Anayoipata Waziri Nyalandu Hata Kaa Aisahau
MACHUNGU wanayokutana nayo mawaziri wanaopewa kuiongoza Wizara ya Maliasili na Utalii, siyatofautishi na yale yatajwayo kupatikana jehanamu mahali kunakotajwa kuwa ni kwenye mateso ya watenda...
View ArticleHuyu Mwanamke Kanishangaza Sana..Haridhiki !!
Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike. Alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini...
View ArticleNapenda Mwanamke Mwenye Matiti Makubwa ila Wenzangu Wanaponda
Wadau naomba kuuliza!Mwanzoni wakati naanza mahusiano ya kimapenzi nilikuwa napenda sana wasichana wenye chuchu ndogo,but as time went on nikajikuta napenda wenye matiti makubwa Kinachonichanganya...
View ArticleDuh! Achana na Azam kwa Mambo ya Fedha
AZAM Tv imefanya kufuru kwa kutoa udhamini wa Sh 361.6 milioni kwa ajili ya kurusha ‘live’ mashindano ya mpira wa kikapu ya Miji Mikuu ya Afrika Mashariki na Kati, ambayo yanaanza leo Jumanne Uwanja wa...
View ArticleArsene Wenger Asingedumu Hispania Kama Angekuwa Kocha kwenye Ligi Hiyo
KOCHA Mkuu wa West Brom, Pepe Mel amesema kocha Arsene Wenger kushindwa kutwaa mataji kwa muda mrefu huku akiwa na kikosi imara kama cha Arsenal ana bahati sana kwa sababu kazi yake anafanya England na...
View ArticleMbeya City: Simba Imekula Kwenu
MBEYA City imewaambia Simba kwamba wamebugi kwa wanachokifanya kwa straika wao, Saad Kipanga na kwamba wao hawamuachii kwani wana mkataba naye.Mchezaji huyo alizungumza na Mwanaspoti na kuihakikishia...
View ArticleRay C Hoi Kitandani, Adaiwa Kuugua Ugonjwa Mpya
Nimepata Habari kuwa Mwanamuziki Ray C yupo hoi Kitandani Akiugua Ugonjwa Mpya Unaojulikana kama Homa ya Denge...Inasemekana Baada ya kutoa tuzo ya Kill Siku ya Jumamosi Kesho yake alianza kuumwa...
View ArticleFid Q "Nilistahili Kushinda Tuzo ya Kill, Kila Mtu Amefurahi Baada ya...
Msanii Fid Q amehabarisha kuwa kila mtu amefurahi kwa yeye kushinda Tuzo ya Mwana Hip Hop Bora wa Mwaka , Amesema hiyo inajidhihirisha hata kwenye Social Media kila mtu anasifia na kukubali ishindi...
View ArticleDr Mwakyembe"Madereva wa Malori ya Kwenda Nje ya Nchi Wanatutia Aibu wa...
Dr Mwakyembe Akiwa njiani kwenda Congo Kufungua Kituo cha Bandari ya Tanzania ambacho kitasaidia Malipo kwa Wafanya Biashara wa Wanaopitishia Mizigo ya Bandari ya Dar es salaam aliweza kuona hali...
View Article