Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Diamond Platnumz Aendelea Kuwagalagaza Wasanii wa Afrika Kwenye Nominations za Kora

$
0
0
Pamoja na kwamba tuzo za Kora hazina tena ‘kiki’ kama zamani, Diamond Platnumz ameendelea kuwagalaza wasanii wa Afrika kwakuwa jina lake ndilo limekuwa likitajwa zaidi na mashabiki kwenye akaunti ya Facebook ya tuzo hizo...Click <HAPA>Kuona Page hiyo

Katika wiki ya ya 17 tangu watu waanze kutaja majina ya wasanii wa Afrika, Diamond ameendelea kuongoza na kuwaacha mbali wasanii wakubwa wakiwemo Koffie Olomide, Sarkodie, Fally Ipupa, Werason na wengine.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>