Nape "CCM haipo Tayari Kuwabembeleza Walio Susa Bunge Warudi, Waendelee Kukaa...
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake Rais DK JAKAYA KIKWETE ilikutana Dodoma May 5 2014 ili kujadili na kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo mchakato wa Bunge la Katiba ambalo...
View ArticleMwanajeshi Apewa Kichapo Kikali na Askari wa Usalama!
Askari wa Usalama barabarani eneo la Makumbusho, Dar wakimpiga Dereva wa gari ambaye amejitambulisha kama mwanajeshi! Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana huu. Bado haieleweki chanzo ni nini.Je,...
View ArticleBila Upendeleo, Mabinti Toka Mkoa gani Tanzania Wanaongoza Kuwa na Sura Nzuri?
Bila upendeleo, mabinti toka mkoa gani Tanzania wanaongoza kuwa na sura nzuri? Kama Unajua Andika Mkoa huo kwenye Comment
View ArticleWanafunika Nywele Lakini Wanafunua Matiti!
Afrika kama tunavyoifahamu, ilikuwa ni sehemu ya Mila na Tamaduni bora kabisa, sehemu ambayo heshima adabu vilikuwa ni msingi wa jamii yake, hasa kwenye jamii.Ni sehemu ambayo masikini waliishi kwa mlo...
View ArticleAjabu:Mvua ya Samaki Yawapa Neema ya Kitoweo Raia
Afrika Mashariki na sehemu nyingine tumezoa kuwa kama mvua haitakuwa ya maji pekee basi itakuwa mvua ya mawe yanayotokana na barafu, lakini raia wa Sri Lanka wao wana uzoefu wa kukinga mvua ya samaki...
View ArticleKocha wa kwanza mwanamke kufundisha soka kwenye klabu kubwa Ulaya
Ni kawaida kuona makocha wa jinsia ya kiume wakiwa wanafundisha timu za mpira wa miguu za wanawake, lakini ni mara chache sana tumewahi kushuhudia kocha wa kike akiwa anaifundisha timu ya...
View ArticleLady Jay Dee Aonyesha Zarau kwa Tuzo za Kill, Eti Hajui Kama Zimeshafanyika
Lady Jaydee alishinda tuzo mbili mwaka huu kwenye KTMA lakini kwasababu ambazo hajazisema,hakuwepo mwenyewe kuchukua tuzo hizo, shabiki yake akamuuliza kupitia twitter na Lady Jay Dee Akamjibu Kwani...
View ArticlePicha za Mahabusu Waliovua Nguo Mwanza Hizi Hapa
Mahabusu wawili kati ya sita wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji, wakiwa wameng'ang'ania mlingoti wa Bendera ya Taifa huku mnoja akiwa mtupu mara baada ya kutoroka toka kwenye msafara wa mahabusu...
View ArticleAlazwa Hospitali kwa Miaka 45
Singida. Usiombe yakupate. Abdi Lanjui (75), ametimiza mwaka wa 45 akiwa wodini katika Hospitali ya Mkoa wa Singida alikolazwa tangu mwaka 1971 baada ya kupata ajali ya lori.Lanjui aliyekuwa dereva wa...
View ArticleUpinzani Watoa Masharti Magumu Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015
Serikali imetakiwa kuandaa taratibu za mpito za kushughulikia Uchaguzi Mkuu ujao ili kunusuru nchi kuingia katika mtanziko unaoweza kuwa chanzo cha machafuko ya kisiasa, endapo utafanyika bila...
View ArticleMatokeo ya Mechi Kati ya Man City na Aston Villa Haya Hapa
Ni game full time ni Manchester City 4 magoli ambayo yamefungwa na Dzeko kwenye dakika 64′+ 72′+ Jovetic 89′ + Yaya Toure kwenye 90 +3) – 0 Aston Villa. Kwa Mtonyo huo Kwa sasa Man City Inaongoza Ligi...
View ArticleUfisadi:Magari Mapya 11 Yaliyonunuliwa na Serekali Hayajulikani Yalipo
Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG imeamplfy kwamba kitendo cha Serikali kukosa nyaraka za mali zake kumechangia baadhi ya watendaji wasio waaminifu kutumia mwanya huo kujisogezea mali za...
View ArticleSnura Aingilia Kati Beef la Wema Sepetu na Kajala
MSANII wa filamu na muziki, Snura Mushi ameingilia kati ugomvi wa wasanii wenzake, Wema Sepetu na Kajala Masanja na kuwaagiza wamalize tofauti zao.Wasanii hao ambao wameingia kwenye bifu la kufa mtu...
View ArticleJokate Ataja Sifa za Mume Wake Mtarajiwa..Wanaume Kazi Kwenu
MTOTO mzuri kunako anga la watangazaji Bongo, Jokate Mwegelo ameibuka na kuanika sifa za mwanaume ambaye anafaa kuwa mume wakeAkipia stori na paparazi wetu juzi jijini Dar, Jokate alisema anapenda...
View ArticleBaby Madaha Aumbuka...Aonekana ni Muongo wa Kutupwa
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ambaye aliwahi kutangaza kuacha fani ya maigizo na muziki amejikuta akiumbuka kwa mashabiki wake kutokana na kuendelea kukomaa katika gemu kwa kuachia...
View ArticleMatatizo yote Yanayokusibu Sasa Basi! Suluhisho Ndio Hili
Matatizo yote yanayokusibu sasa basi! Doct Shkh Omari bin Mshamu ndio suruhisho la matatzo yako..Ni Doct aliyebobea mambo ya sayansi inayohusika na mfumo wa mwili wa binadamu na maisha yake, na ni...
View ArticleMaster Jay "Uchawi Bongo Flava Upo Nimewahi Kuona Msanii Anatokwa na Panzi...
Producer mkongwe wa muziki na mmliki wa MJ Records, Master J, amesema uchawi upo kwenye muziki na ameshawahi kushuhudia msanii wa bendi akitolewa panzi kooni iliyoingia kimazingara ili ashindwe...
View ArticleExclusive: Dr Cheni alazwa hospitali kutokana na ugojwa wa Dengue
Msanii wa filamu nchini, Dr Cheni amelezwa toka jana katika hospitali ya Buruhani jijini Dar es Salaam kutokana na ugonjwa wa Dengue.Akizungumza na Bongo5 leo Dr Cheni amesema kuwa bado hali yake sio...
View ArticleDiamond Platnumz Aendelea Kuwagalagaza Wasanii wa Afrika Kwenye Nominations...
Pamoja na kwamba tuzo za Kora hazina tena ‘kiki’ kama zamani, Diamond Platnumz ameendelea kuwagalaza wasanii wa Afrika kwakuwa jina lake ndilo limekuwa likitajwa zaidi na mashabiki kwenye akaunti ya...
View ArticleImebainika:Serikali ilifanya Siri Ugonjwa wa Dengue
Ugonjwa wa homa ya dengue ambao umezidi kusambaa mkoani Dar es Salaam na kuathiri wilaya zake tatu za Temeke, Ilala na Kinondoni umezua hofu na taharuki kubwa kwa wananchi. Takwimu za Kitengo cha...
View Article