$ 0 0 Naomba kupata updates za Dr. Ulimboka:1. Je, bado ndie mwenyekiti wa madktari Tz?2. Je, yupo nchini?3. Vijana walopoteza kazi kwa misimamo yake inakuaje?4. Je, kaamua kunyamaza au kunyamazishwa?Mwenye dondoo atuwekee plz!