HIVI NDIVYO WAGANDA WALIVYOTAKA 'KUMUUA' ANKO NGASSA LEO MOMBASSA
Mfungaji wa mabao mawili ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars katika sare ya 2-2 na Uganda, The Cranes kwenye Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge, Mrisho...
View ArticleGOLKIPA IVO MAPUNDA AWA LULU YANGA NA SIMBA ZAMMEZEA MATE BAADA YA KUIBUKA...
Golkipa mkongwe wa hapa Tanzania Ivo Mapunda Ambae Anaichezea Team ya Gor Mahiya ya Kenya kama mchezaji wa kulipwa Jana kwa sasa ni kama Lulu Kwa Team Kongwe za Yanga na Simba ...Jana Aliziirishia...
View ArticleSALUTI: MOURINHO AIKUBALI ARSENAL...ILA PIA AIONYA
Kocha machachari na mwenye majigambo Mourinho wa Chelsea amejitokeza na kuipongeza team ya Arsenal ambayo inaonekana ni mwiba katika ligi hiyo ya England ..Amesema Arsenal kwa sasa Wamejipanga na...
View ArticleBOB JUNIOR ADAIWA KUVAA NGUO ZA MKOPO
Msanii wa Music ambae pia ni Producer wa Muziki na Mmiliki wa Studio ya Sharobaro Records Bob Junior ameingia katika Aibu Ingine baada ya Duka Moja la nguo Kujitokeza na Kudai Linamdai Msanii huyo...
View ArticleKOCHA MANCHESTER UNITED AKALIA KUTI KAVU-ASISITIZA NI LAZIMA ASAJILI...
Nchini England mabingwa watetezi wa Ligi ya nchi Hiyo Manchester United wameendelea na mwanzo mbaya wa ligi hiyo baada ya hii leo kukubali kipigo cha bao moja bila toka kwa Newcastle United .Bao pekee...
View ArticleKANYE WEST AZINGUANA NA RAIS OBAMA WA MAREKANI
Rapper Kanye West amemtolea Uvivu Rais Barack Obama wa Marekani kwa kumzuia kutaja jina lake popote na wala la Mpenzi wake Kim Kardashian...Hii inakuja kama ni kujibu mapigo baada ya raisi wa marekani...
View ArticleMBUNGE AMSHAURI RAIS KIKWETE KUMG'OA WAZIRI MKUU PINDA ADAI HAWAJIBIKI NI...
Dodoma. Rais Jakaya Kikwete, ameshauriwa kumng’oa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ikielezwa sababu kuwa ndiye kikwazo katika utendaji wa Serikali na kwamba akiachwa ataipeleka pabaya Serikali na CCMKikwete...
View ArticleSINTASAHAU HUYU MDADA NIMEMVULIA KOFIA
Mambo niaje wakuu..sijui hata nianzie wapi?...hawa wanawake...!! basi tu!!basi bwana nmekua nikimdate dada mmoja mwenyeji wa iringa .sio siri kwa haraka haraka nlijua huyu ananipenda kwa dhati, mie...
View ArticleSIKU MANCHESTER UNITED ILIPOSHUSHWA DARAJA
Ni mashabiki wachache wa Manchester United wanaikumbuka siku ile ambayo timu yao ilishushwa daraja. Ilikuwa msimu wa 1973/74 na mechi ya mwisho ya ligi ilikuwa tarehe 27 Aprili 1974. Kwa mashabiki wa...
View ArticleMAJANGA:WACHINA WAWEKEZA HADI KWENYE BIASHARA YA KUGAWA URODA (UCHANGUDOA)
Amini Usiamini Wachina sasa Wameamua kuwekeza mpaka kwenye Ukahaba , Kama unataka kushuhudia hilo basi tembelea hotel za hapa dar zilizopo katika fukwe za bahari ya hindi ukajionee wadada wa kichana...
View ArticleKUJIUA NA KUUA KWA BASTOLA KWA WAPENZI KUNAANZIAGA HAPA
Mapenzi ni kitu kingine kabisa chali yangu usisikia mtu kaji Ufosaroo aka kujiua na Bastola ukadhani ni uchizi tu ..hiyo tunaita ni dhuluma ya penzi...Inauma sana jamani..Unakuta upo mapenzini na Binti...
View ArticleMSAANI MAARUFU "KELLY ROWLAND " KUTOKA MAREKANI AKIWA KATIKA MITAA YA UWANJA...
Msanii maarufu wa Marekani Kelly Rowland, ametinga uwanja wa fisi Manzese Dar es salaam jana jioni baada ya kusikia sifa za maeneo hayo ya Uswahilini tangu akiwa USA. Msanii huyo ametua nchini kwa...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA MKE MTARAJIWA WA MBWANA SAMATA ANAECHEZA MPIRA KATIKA KLABU...
Huyo Ndio Shemeji yetu kwa Mbwana Samatta ..She is Cute No Doubt
View ArticleMASKINI MTOTO SULEMANI RAJAB ALIYE KUWA ANASUMBULIWA NA UVIMBE WA MIGUU AFARIKI
Yule mtoto Suleiman Rajab aliyeteseka muda mrefu akisumbuliwa na uvimbe mkubwa mguuni huku mamia ya Watanzania wakijitolea kuchanga fedha kwa ajili ya matibabu nchini India amefariki dunia ghafla...
View ArticleZITTO "SHILINGI 2 BILLION HUTOROSHWA NA KUPELEKWA NJE YA NCHI KWA KUKWEPA KODI"
Bunge limeelezwa zaidi ya Dola za Marekani 1.25 bilioni sawa na Sh2 trilioni hutoroshwa na kupelekwa nje ya nchi kila mwaka kwa lengo la kukwepa kodi. Taarifa hiyo imetolewa wakati wingu zito likiwa...
View ArticleMAANDALIZI YA MAZISHI YA RAIS WA ZAMANI WA AFRIKA YA KUSINI NELSON MANDERA...
Hili ni Banda linaloendelea kujengwa katika eneo la makazi ya Hayati Nelson Mandera kwa ajili ya maandalizi ya shughuli za maziko yanayotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii, ambapo zaidi ya viongozi...
View ArticleWANAUME WAWILI MASHOGA WAPATA VYEO VIKUBWA SEREKALINI...MMOJA NI WAZIRI MKUU...
Hii itakua ya kwanza duniani kwa wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kupata vyeo vikubwa kwenye serikali kuu ya nchi.Makundi mengi yenye maoni tofauti yamekuwa yakipinga mapenzi ya jinsia moja...
View ArticleMSANII MKUBWA WA HIP HOP TOKA MAREKANI AJICHORA TATTOO KUBWA YA NELSON MANDELA
Hakuna mtu yoyote ambaye hajaguswa na kifo cha Mzee Nelson Mandela kutokana na historia ya pekee aliyoiacha kiongozi huyu wa Afrika Kusini.Kuanzia mataifa ya Asia,Ulaya,Marekani, wanamichezo,waigizaji...
View ArticleHIVI DOCTOR ULIMBOKA YUPO WAPI? KAAMUA KUNYAMAZA AMA KANYAMAZISHWA?
Naomba kupata updates za Dr. Ulimboka:1. Je, bado ndie mwenyekiti wa madktari Tz?2. Je, yupo nchini?3. Vijana walopoteza kazi kwa misimamo yake inakuaje?4. Je, kaamua kunyamaza au kunyamazishwa?Mwenye...
View ArticleMAKALI YA KILIMANJARO STARS YAIPA TEAM YA KENYA MCHECHETO-LAZIMA WAKAE
KENYA imeingia mchecheto na makali ya Kilimanjaro Stars na sasa imebainika kwamba Kocha Adel Amrouche ndiye aliyesisitiza mechi ikachezwe Machakos badala ya Mombasa.Kenya itacheza na Stars kesho...
View Article