$ 0 0 Kaondoka siku tatu sasa zimepita. Simu hapokei wala hajibu sms, kaenda Kigamboni kwa rafiki yake.Nimeongea na rafiki yake anasema mke wangu kaenda kubadilisha upepo.