Jamani Kibamia Kitamu Asikwambie Mtu Looh!!!
Habari zenu wapendwa, Hapa nilipo niko nje ya bongo safari flani hv ya kizushi, na safari hiyo niko huku tangu mei mosi, saa bana ile ninefika tuu hotelini si mnajua mambo yetu yale, daaah nikanasa...
View ArticleWanawake Hufurahishwa na Vitu Vidogo Vidogo Sana Hakuna Haja ya Gharama
kawaida mtu kutumia pesa nyingi labda kumpeleka mpenzi wake kwenye mahotel makubwa au kumnunulia vitu vya thamani ili kumuonyesha mapenzi, ila ukweli ni kwamba unaweza ukafanya hayo yote ukajiingiza...
View ArticleJe, Unadhani ni Kwanini Wanaume Wengi Hawawaridhishi Wanawake wao Katika...
Je, unadhani ni kwanini wanaume wengi wamekuwa wakishindwa kuwaridhisha wanawake wao katika mapenzi?
View ArticleNay wa Mitego Aongea Kuhusu Kusambaa kwa Picha ya Mchumba wake Akivishwa Pete...
Hatimaye Nay wa Mitego amezungumzia scandal iliyokuwa ikimhusu mchumba wake aitwaye Siwema ambaye mwezi uliopita ilisambaa video na picha kwenye mtandao wa Instagram inayomuonesha akivishwa pete na...
View ArticleDida’s Fashion,Aliyekuwa Mke wa Ndoa wa Q Chillah Aelezea Sababu ya Kuachana...
Mwanadada Hadija Seif (Dida’s Fashion) aliyekuwa mke wa ndoa wa msanii wa muziki Q Chillah amefunguka kisa kilicho afanya waachane pamoja na jitihada alizozifanya kumnusuru msanii huyo na wimbi la...
View ArticleNdoto "mpya" ya kakobe yaitesa ukawa!
Kama ilivyo kawaida kwa askofu Kakobe kuota ndoto mbalimbali kuhusu mambo yanayohusu mstakabali wa taifa letu. Askofu Kakobe ameota ndoto nyingine ambayo inawahusu UKAWA na harakati zao za kudai...
View ArticleWema aache umaarufu wa kubebwa na scandal.
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity,Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ameibuka nakumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepukaumaarufu bila kazi.Nyerere amemtaka Wema aachane na skendo zakila kukicha...
View ArticleStevie Nyerere Analazimisha Ustaa?
Huyu Stevie Nyerere mbona mwenzenu simuelewi,namuona tu na kimbelembele chake na kujikwezakweza aonekane na yeye yumo.Hivi anafanya kazi gani ya kuonekana inayomfanya ajione yumo kiasi hicho au fans...
View ArticleBinti Mrembo wa 1992 Akiri Kuwa na Mahusiano ya Kisagaji na Star wa Bongo Movies
Siwezi kumwacha, nikimwacha ntakufa” ni maneno makali kutoka kwa binti mdogo wa 1992 ambae amekiri kua yuko kwenye mahusiano sasa na binti mwenzake.Chanzo cha habari kutoka ndani ya familia ya binti...
View ArticleManchester City Win Premier League Title
Manchester City have won the Barclays Premier League title with a 2-0 defeat over West Ham United at home.Goals either side of half-time from Samir Nasri and Vincent Kompany saw City capture the title...
View ArticleMwili wa Mtu Asiyejulikana Umeokotwa Mto Mzinga Kongowe
Kamera yetu leo hii imenasa mwili wa mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake ukielea ndani ya Mto Mzinga maeneo ya Kongowe jijini Dar es Salaam.Mwili wa mtu huyo ulipatikana baada ya wakazi wa eneo...
View ArticleChris Brown Aongezewa siku 131 za Kukaa Jela
Uhuru wa Chris Brown kwa sasa bado ni ndoto sababu Ijumaa iliyopita (May 9) jaji wa mahakama ya Los Angeles alimhukumu mwimbaji huyo kifungo cha mwaka mmoja jela (siku 365), baada ya kukiri kuvunja...
View ArticleMke kanisusia nyumba, kaniacha na house girl Huyu
Kaondoka siku tatu sasa zimepita. Simu hapokei wala hajibu sms, kaenda Kigamboni kwa rafiki yake.Nimeongea na rafiki yake anasema mke wangu kaenda kubadilisha upepo.
View ArticleKama Ulikuwa Hujui Unaambiwa Ugomvi ni Afya kwenye Mapenzi..Soma Hapa
Ukimuuliza binti yeyote akutajie mambo 10 asiyopenda kusikia au kuyaona katika ndoa yake, mojawapo litakuwa ni ugomvi. Ugomvi unaumiza, kiakili na kimwili. Ugomvi si ustaarabu, zaidi sana ugomvi si...
View ArticleNisha Afunguka Sababu ya Kuachana na Ney wa Mitego Japo Alipenda Kuolewa Naye
Msanii wa maigizo Salama Jabu maarafu kama Nisha amefunguka na kueleza sababu kubwa iliyomfanya kusitisha penzi lake na mwanabongo flava Nay wa Mitego. Akiongea Nisha alisema" Unajua Nay ndiye...
View ArticleHaiwezekani Nataka Kupima DNA Nimestuka!! Wanangu Hawajafanana na Mimi
Mwenzenu jamani nahisi nmechakachuliwa,nina mke wangu tumezaa watoto wawili mmoja yuko na miaka mitano na wa pili miwili,kati yetu mimi na mke wangu nahisi kuna kitu kinaendelea na nimefanya uchunguzi...
View ArticleStaa wa Kike Bongo Atupia Mtandaoni Picha ya Utata..Je waweza Mtambua ni Nani?
NI STAA GANI HUYU? Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua staa mmoja wa kike nchini anaejihusisha na ugizaji wa filamu za kibongo ameachia picha kimitego mtandai na kuzusha mjadala mzito. Habari...
View ArticleMrema Aiombea heri Ndoa ya Chadema, CUF, NCCR
MBUNGE wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP ) ametaja ushirikiano wa vyama vitatu vinavyounda kambi rasmi ya upinzani bungeni kwamba ni ndoa ambayo kama wahusika wangekuwa na nia njema, ungeanza siku nyingi...
View ArticleNgorongoro Heroes Yapigwa Kipigo cha Mbwa Mwizi
TIMU ya taifa ya soka ya vijana wa chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, jana walianza vibaya kampeni ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Afrika kwa umri huo baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka...
View ArticleLugola: Serikali ya CCM Inaendeshwa Kisanii
Mbunge machachari wa Mwibara, Alphaxard Kangi Lugola, amedai kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambayo yeye ni mbunge wake, inaendeshwa kisanii.Lugola ambaye katika Bunge lililopita aliwaongoza...
View Article