Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

NISHA "MIMI SIVUTI SIGARI-NAVUTA KWENYE SCENE YA MOVIE TU IKILAZIMU NIFANYE HIVYO"

$
0
0
Mcheza filamu za kibongo Salma Jabu Nisha amesema havuti sigara nje ya filamu hivyo mashabiki wasimtafasiri tofauti wakiona anaigiza kuvuta sigara kwani yeye anafanya jinsi “scene“inavyotaka
Akitolea mfano kwenye filamu ya shaymaa anasema “story“ilitaka avute sigara ndio maana amevuta lakini sio mvutaji kabisa wa sigara kwenye maisha ya kawaida
“mimi sivuti kabisa sigara njee ya filamu hivyo msinitafasiri tofauti jamani navuta sigara kulingana na story inavyotaka“

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>