MABOMU YARINDIMA MKUTANO WA DR SLAA KIGOMA
JESHI la Polisi wilayani Kasulu mkoani Kigoma, jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi ili kumnusuru Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa asifanyiwe fujo....
View ArticleMORNING ADVICE:TIPS TO DEAL WITH THE JOB YOU DON'T LIKE
We find ourselves in a job we don’t enjoy, a job that is not in our career field or a job that leaves us counting down the minutes until we can clock out and go home for the day. It’s just a natural...
View ArticleGOR MAHIA YAMKOMALIA KIPA IVO MAPUNDA-YASEMA HAENDI POPOTE BADO WANAMUHITAJI
KLABU ya Gor Mahia ya Kenya haina presha na kipa wake Ivo Mapunda na imesisitiza kumuongezea mkataba baada ya kumalizika kwa michuano ya Kombe la Chalenji.Mapunda, ambaye mkataba wake unamalizika mwezi...
View ArticleBABY MADAHA ANUSIRIKA KUBAKWA
STAA wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amenusurika kubakwa na vijana wa kihuni nchini Kenya maarufu kama machokoraa.Tukio hilo lilitokea pande za Mombasa nchini Kenya wakati...
View ArticleIMEGUNDULIKA: KABLA NELSON MANDELA HAJAFUNGWA JELA ALIISHI TANZANIA HUKO...
Katika mwaka wa 1962 Nelson Mandela aliondoka Afrika kusini kisirisiri na kwa muda wa miezi saba alikuwa akitembelea mataifa mengi ya bara la Afrika.Chama cha African National Congress, ambacho...
View ArticleNISHA "MIMI SIVUTI SIGARI-NAVUTA KWENYE SCENE YA MOVIE TU IKILAZIMU NIFANYE...
Mcheza filamu za kibongo Salma Jabu Nisha amesema havuti sigara nje ya filamu hivyo mashabiki wasimtafasiri tofauti wakiona anaigiza kuvuta sigara kwani yeye anafanya jinsi “scene“inavyotakaAkitolea...
View ArticleSHAA AKIRI KUWA NA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA MASTER JAY.
Akihojiwa katika kipindi cha ng'ari ng'ari, Shaa alisema," mimi sikuwa sababu ya kuachana kwa wao wawili (master jay na mama watoto wake),kwani ugomvi au kuachana kwa watu wawili huwa inahusu wao...
View Article'BABU SEYA, PAPII LAZIMA WATAACHIWA HURU'
Stori:Na Mwandishi wetuNGUZA Mbangu, mtoto mkubwa wa mwanamuziki mahiri wa muziki wa dansi anayetumikia kifungo cha maisha jela, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya, amesema mzazi wake pamoja na mdogo...
View ArticleBOB JUNIOR ADAI KUTOSIKILIZWA NA VYOMBA VYA DOLA ANAPOENDA KUSHTAKI MAGAZETI...
Kufuatia kuandamwa na magazeti ya udaku, Rais wa Masharobaro na hitmaker wa Bashasha, Raheem Ramadhani a.k.a BOB JUNIOR amesema kuwa licha ya kuandikwa vibaya kwa kile alichokidai kuwa ni udhalilishaji...
View ArticleKINGWENDU AGEUKA TAPELI AKIMBILIA MSUMBUJI NA MKWANJA WA DIRECTOR
Mchekeshaji maarufu Kingwendu anatuhumiwa kumtapeli mtayarishaji wa filamu za kitanzania ‘Bongo Movies’ ambaye pia ni mshindi wa tuzo za ZIFF, Bondi.Akiongea kupitia kipindi cha Filamonata cha 100.5...
View ArticleRUTH MATETE(TPF5 WINNER) AOMBA RADHI KWA VAZI ALILOVAA SIKU YA FINALI ZA TPF6
Mshindi wa Tusker Project Fame 5 Ruth Matete amewaomba msamaha mashabiki wake pamoja na media nzima kwa kivazi alichokivaa siku ya Jumapili kwenye fainali hizo za TPF6 zilizokuwa zikifanyika kule...
View ArticleTAARIFA ZA AWALI ZILIZO ZAGAA KUWA MZEE SMALL KAFARIKI DUNIA
Taarifa kwamba mwigizaji wa bongo movie Mzee Small amefariki nilizipata kwenye mida ya saa sita usiku na ni taarifa ambazo wengi waliziamini kutokana na ukweli kwamba mzee huyu amekua akiripotiwa...
View ArticleDR SLAA ANGURUMA JIMBONI MWA ZITTO KABWE
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa leo atakuwa na ziara ya siku moja katika Jimbo la Kigoma Kaskazini ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku tisa mkoani Kigoma kwa ajili ya kuimarisha...
View ArticleKILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0
TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao1-0 katika...
View ArticleLINAH "NATAMANI NPATE MIMBA JAMANI"
STAA wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ juzikati ameweka wazi nia yake ya kusaka mtoto, Risasi Mchanganyiko linakushushia.Akizungumza na mwandishi wetu Desemba 9, mwaka huu jijini Dar, Linah...
View ArticleMIE NDIO NILIMWANDIKIA MATONYA NYIMBO YA VAILETH NA DUNIA MAPITO LAKINI...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tunda Man hivi karibu alizungumzia kwa namna alivyokuwa akimtungia nyimbo msanii wenzake wa muziki huo aitwa Matonya na fadhila alizozipata.Akizungumza kwenye kipindi...
View ArticleMWENYEKITI WA CHADEMA MKOANI ARUSHA AKISHITAKI CHAMA CHAKE
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba, amekishitaki chama hicho kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, akitaka mwongozo kuhusu mgogoro unaokitafuna.Mwigamba amemwomba msajili atoe...
View ArticleMWANAMUZIKI FM ACADEMIA AFANYIWA KITU MBAYA
Na Shakoor JongoDUNIA kweli haina huruma! Kitendo alichofanyiwa mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia ya jijini Dar anayejulikana kwa jina moja la Flora alfajiri ya kuamkia Desemba 8, mwaka huu ni...
View ArticleHUU NDIO MUONEKANO MPYA WA RAY C AKIONESHA MIGUU YAKE ILIVYONONA
Mtoto Guu guuu kazi kwako
View ArticleKAULI YA IVO MAPUNDA KUHUSU TETESI ZA KUSAJILIWA NA SIMBA
Ivo Mapunda ambae ni kipa wa sasa wa timu ya taifa akiwa amechukua headlines za karibuni kutokana na alichofanya kwenye mashindano CECAFA, amezungumza kuhusu stori nyingi Magazetini Tanzania kwamba...
View Article