Mshindi wa Tusker Project Fame 5 Ruth Matete amewaomba msamaha mashabiki wake pamoja na media nzima kwa kivazi alichokivaa siku ya Jumapili kwenye fainali hizo za TPF6 zilizokuwa zikifanyika kule Nairobi Kenya.
Hapa zipo status alizoandika kupitia account zake za Facebook na Twitter unaweza kuzisoma hapa
Hapa zipo status alizoandika kupitia account zake za Facebook na Twitter unaweza kuzisoma hapa