Mwanzoni wimbo huu ulisikika wakati wa utoaji wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014,ni kutoka kwa Ommy Dimpoz unaitwa Ndagushima,ni wimbo ambao umeanza kuzungumziwa muda mrefu sasa hapa nakupa nafasi ya kuuona kwa mara ya kwanza.
Bonyeza play kutazama.