10 DEAD and 70 Injured In Gikomba Market Twin Blasts - AL SHABAAB May Be...
At least 10 people have been confirmed dead after multiple blasts in Gikomba Market on Friday.Initial reports indicate that the first blast went off inside a 14-seater matatu while the second explosion...
View ArticleJina Kabula Amteka Kimapenzi Madee Wanaongozaja kama Kumbi Kumbi
Siku za Karibuni Mwigizaji wa Sinema za Kibongo Jina kabula inasemekana amelinasa penzi la Mwaimbaji maarufu wa Bongo Flava Madee , Habari zilizozagaa ni kuwa huwa jamaa wanaongozana kila mahali kama...
View ArticleHuyu Ndio Mpenzi wa Hashim Thabit Aliye Zaa Nae..Jokate Upo!
Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu katika timu kubwa ya ‘Thunder aka OKC’ katika jijini laOklahoma, Marekani Hasheem Thabeet aka Hasheem The Dream wiki sita zilizopita amepata mtoto wa kiume(Baby...
View ArticleMessi Akubali Kubaki Barcelona, Sasa Amzidi Ronaldo Kwa Mkwanja
LIONEL Messi amekubali kusaini mkataba mpya katika klabu yake ya Barcelona na kuwa mchezaji anayelipwa zaidi duniani ambapo atakuwa anavuta mkwanja wa paundi milioni 16.3 kwa mwaka.Baba yake, Jorge,...
View ArticleWema Sepetu na Aunt Ezekiel Wamwingiza JB Mkenge
IMEKULA kwake! Wauza nyago kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wamemuingiza mkenge staa mwenzao, kaka mkubwa Jacob Steven ‘JB’ baada kukubali mwaliko kisha kumkatalia...
View ArticleKaburi la Shehe Yahya Lajengwa Kikristo, Familia Yang'aka na Kusema Haya
MAKUBWA! Kaburi la aliyekuwa Mnajimu Mashuhuri Afrika Mashariki, marehemu Shehe Yahya Hussein limejengwa tena baada ya hivi karibuni kubomolewa na watu wasiojulikana, lakini sasa limedaiwa kujengwa...
View ArticleSasa ni Wakati wa Wachezaji wa Taifa Stars Kuwafuta Machozi Watanzani
Na Baraka MbolemboleBrazil inaweza kuwa nchi pekee katika soka ambayo waandishi wake wa habari wanaweza kuungana na wachezaji katika kushangili ushindi wa timu na kuhoji wachezaji inapotokea wachezaji...
View ArticleTundu Lissu: Sheria Gani ilimruhusu Salma Kikwete Kufanya Mkutano wa Siasa...
Mh. Tundu Lissu mbunge na mwanasheria mashuhuri akichangia hoja katika wizara ya mambo ya ndani ameulizia sheria ambayo imemruhusu Salma Kikwete kufanya mikutano ya kisiasa Mtwara wakati jeshi la...
View ArticleUjana Maji ya Moto, Msaada Kwenye Tuta Tafadhali...
Habari watu wa humu ndani,Mimi ni kijana nina mpenzi wangu tangu tupo advance(secondary school) ,almost ni kama miaka nane hivi tupo ndani ya mahusiano.Tukafanikiwa kupata mtoto, pande zote mbili za...
View ArticleMke Wangu Anakojoa Kitandani...Kila Siku Anavaa Pampasi Usiku
The situation is so embarrassing that she wears diapers to sleep. She blames it on the 3 kids we have but I do not believe this. True she was not like this when we got married, the first time she wet...
View ArticleSerikali yashikwa pabaya bungeni
Dodoma/Dar es Salaam. Kashfa ya zaidi ya Sh200 bilioni za Akaunti ya Escrow ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imechukua sura mpya baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kudai kuwapo...
View ArticleNjaa Yaisukuma Familia Kula Nyama ya Paka
Siyo rahisi kwa mtu ambaye anapata chakula kutwa mara tatu, kuamini kuwa kuna binadamu ambao wanaweza kuishi hata siku tatu bila kupata hata mlo mmoja.Hata hivyo ni ukweli usiopingika kuwa wakati...
View ArticleMWIGIZAJI na Muongozaji Filamu Adam Kuambiana Amefariki Dunia
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia leo. Marehemu...
View ArticleMiss Atupia Picha Za Nusu Utupu Instagram, Ni Rehema Fabian Aambulia Matusi!
MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi.Picha hiyo...
View ArticleItazame Video Mpya ya Ommy Dimpoz Hapa – Ndagushima
Mwanzoni wimbo huu ulisikika wakati wa utoaji wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014,ni kutoka kwa Ommy Dimpoz unaitwa Ndagushima,ni wimbo ambao umeanza kuzungumziwa muda mrefu sasa hapa...
View ArticleMchungaji Rwakatare acharuka Bungeni! Ngoma za Vigodoro Chanzo
Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoko na Vigodoro na...
View ArticleMKE WANGU: Amezaa Mtoto Mzungu
Jamani jumatano majira ya saa tisa usiku mke wangu amejifungua.Si masihala, amezaliwa mtoto mzungu kabisaaa ila amefanana kila kitu na mimi (copy kabisa).Hii ni hali ya kawaida? Ukoo wetu hamna mzungu...
View ArticleArsenal Bingwa FA, Baada ya Miaka 9 Bila Kombe
Arsenal wametwaa kombe la FA baada ya kukaa miaka tisa bila kombe lolote. Wametwaa ndoo hiyo kwa kuifunga Hull City bao 3-2 katika muda wa nyongeza baada ya sare ya 2-2 katika muda wa kawaida kwenye...
View ArticleAtletico Madrid Bingwa Ligi ya La Liga
TIMU ya Atletico Madrid imetwaa kombe la La Liga baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Barcelona kwenye Uwanja wa Nou Camp. Kwa ushindi huo wamefikisha pointi 90 wakati Barcelona wakiwa na pointi 87 sawa na...
View ArticleMume Amkata Mkewe Sehemu za Siri Baada ya Mke Kusema Amepata Bwana Mwingine Bora
UNYAMA wa kutisha! Gasto Edward (32) amemkata mkewe Mwelu Raymond sehemu zake za siri, Risasi Jumamosi lina simulizi hii ya kusikitisha. Tukio hilo lilitanguliwa na kumpiga mkewe huyo na kipande cha...
View Article