Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Marekani Kuhamishia Shughuli Zake Tanzania Kutoka Kenya!

$
0
0

Serikali ya Marekani imesema itapunguza wafanyakazi katika ubalozi wake nchini Kenya kutokana na kitisho cha ugaidi.


Marekani imechukua hatua hiyo baada ya vitisho na mashambulizi ya kigaidi kuzidi kupamba moto nchini Kenya, ambapo jana watu 10 walikufa na wengine wengi kujeruhiwa kutoana na bomu lililolipuka jijini Nairobi.

Marekani imesema itahamishia baadhi y shughuli zake nchini Tanzania au Ethiaopia.

Source: DW Habari.

Ugaidi ni hatari sana. Haya makundi yanayozidi kuchanua kila siku sijui Dunia inaelekea wapi?


Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>