$ 0 0 Siku ya Kesho Diamond Platnumz na Davido watalishambulia jukwaa kutumbuiza nyimbo ya my number one remix . Tayari wameanza maandalizi ya performance hiyo na hizi ni baadhi za picha za maandalizi hayo..