Wampigisha Kwata Waziri wa Afya
Wabunge wanawake bila kujali itikadi za vyama juzi usiku waliungana kuibana Serikali wakishinikiza iongeze fedha za Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ya mwaka 2014/15 ili kukabiliana na vifo...
View ArticleUnamkumbuka yule Trafic wa Kenya Alievaa Sketi Fupi? Kaja na hii Tena.
Yule trafiki wakike wa Kenya ambae kwa sasa Wakenya wengi wanamuita Koplo Linda Okelo ameingia tena kwenye headlines huko huko Kenya na kwa sasa ameamua kwenda mahakamani kupinga hatua ya kamati ya...
View ArticleAudio: Mtoto wa Marehemu George Tyson 'Sonia' Atoa Ujumbe Mzito wa Majonzi...
Jana simanzi ma majonzi vilitawala katika viwanja vya Leaders Club wakati mamia ya watu walipokuwa wakiaga mwili wa muongozaji wa filamu na vipindi vya televisheni, George Tyson aliyefariki katika...
View ArticleMke wa Mtu Ajeruhiwa Baada ya Kumfumania Mume Wake Akibinjuka na House Girl
Stori: issa mnally via GPLUBABE! Tofauti na inavyoaminika na wengi kuwa mfumaniwaji huwa mpole, kibao kimebadilika, mfanyakazi wa ndani aliyejulikana kwa jina la Niachie amegeuka mbogo na kumchoma...
View ArticleHermy B Afunguka Kuhusu Mtu Aliyemkosanisha na Wasanii wa B’Hits
Producer na CEO wa B’Hits Hermy B ameamua kufunguka ya moyoni kuhusiana na mtu wa karibu yake anayeamini kuwa ndiye aliyemkosanisha na wasanii wa B’Hits ambao kwa sasa hawako naye tena. Kupitia...
View ArticleKwa Mnao Kuza Makalio Kwa Dawa za Kichina na Kienyeji hii Inawahusu
Kwa wale wadada wanaotumia dawa za uongeza makalio ziwe za Kichina ama za Kienyeji wakiamini kuwa ndio wataonekana wazuri na kuwavutia wanaume, au haujatumia ila unafikiria kutumia siku moja,angalia...
View ArticleHii Kali Sana eti CNN, BBC na AL Jazeera Wanajua Kuwa Raila Odinga Ndio Raisi...
Former Prime Minister Raila Odinga told a mammoth crowd of his supporters in Eastleigh that many foreign media houses view him as the legitimate President of Kenya.Speaking after visiting Eastleigh...
View ArticlePaparazi Wamnasa Lupita Nyong'o Ndani ya Nguo za Kuogelea na Shanga Kiunoni...
Akiwa Mapumzikoni , Paparazi Bila ya Ajizi walifanikiwa kumfotoa Mwanadada Lupita Nyong'o akiwa Beach akifurahia maisha bila yeye kuwa na Habari hata kidogo ....Mmhh Any Comment?
View ArticleUkamataji Wanaodai Kutibu Ukimwi Ufanywe kwa Vitendo
MATANGAZO ya watu mbalimbali kuibuka na kudai kutibu magonjwa mbalimbali yamekuwa yakiongezeka kadri siku zinavyosonga mbele kwa kubandikwa mitaani pamoja na kutangazwa sehemu mbalimbali.Suala hili,...
View ArticleJeshi la Polisi Linadaiwa Kuvamia Nyumbani kwa Lwakatare na Kuwakamata
Taarifa ya awali...Katika hali ile ile ya mwendelezo wa kutumikia maelekezo na maslahi ya CCM dhidi ya wapinzani wa kisiasa wa chama hicho, Jeshi la Polisi usiku huu limevamia nyumbani kwa Mkurugenzi...
View ArticleHatupendi Kuwa na Historia Mbaya kuwa na Wanaume weng ila Inabidi
Mwanaume wa kwanza, nilikutana nae kidato cha tano lakini baada ya matokeo kidato cha sita aliniacha eti kwa sababu mimi nimefauru hivyo chuo lazima nitamsaliti nilimsihi sana kwa sababu niliamini,kuna...
View ArticleSabuni Hizi Zinaongoza Kuachanisha Ndoa
Ukienda guest au hoteli yoyote hapa TZ unakuta sabuni hizi za EVA zimewekwa kwenye bafu la choo cha chumba ulichopanga..Kwa kawaida ni adimu sana kuikuta inatumika nyumbani,hivo nadhani hata...
View ArticleSintah Ampa Pole Capt. Komba Kwa Kuchafuliwa na Picha Fake
"Kwakweli watu wakikuamulia wamekuamulia aisee, picha hizi ni za uzushi na zimetengenezwa wabataka kumchafua Mh Komba, hivi uko chumbani na baby wake wewe uvae khabga yeye awe na shirt badala ya vest...
View ArticleHivi Huyu Halima Kimwana ni Nani Kwa Diamond?
Kuna watu wanashangaza kidogo,siyo kwamba tunawafuata majumbani mwao na kugundua tabia zao,kwamba wanakula sana,wachoyo,wachafu au hawapatani na majirani zao,hapana,wanayoyafanya ama...
View ArticleHivi Ndivyo Fastjet ilivyohakikisha Diamond Anarudi na Tuzo.
Kampuni ya safari za ndege nchini tzee ya Fastjet, imetokea kumpa sapoti mkali wa Afro Pop Dimond Platnumz, kwa kusimamia swala zima la usafiri wa Diamond na kuhakikisha kuwa anafika nchini africa...
View ArticleDemu wa Young Killer Autafuta U-Super Staa Kwa Nguvu, Sasa Atuonyesha Umbo...
Baada ya kugeuza noti za buku 10 kuwa shuka mrembo wa rapper wa ‘Mrs Supastaa’ Young Killer aitwaye Halimaty ameendelea kumake headlines kwa picha zake kwenye mtandao wa Instagram. Na sasa ameamua...
View ArticleHatimaye akaunti ya Twitter ya Diamond yawa Verified.
Diamond Platinumz ambaye kwa sasa yuko Afrika Kusini akijiandaa na shughuli ya utoaji wa tuzo za MTV,leo mtandao wa Twitter umempa umiliki halali wa akaunti yake ya Twitter kwa kuwa Verified.Diamond...
View ArticleDiamond Kuperform MTV Mama Awards na Davido Kesho…Angalia Baadhi ya Picha za...
Siku ya Kesho Diamond Platnumz na Davido watalishambulia jukwaa kutumbuiza nyimbo ya my number one remix . Tayari wameanza maandalizi ya performance hiyo na hizi ni baadhi za picha za maandalizi hayo..
View ArticleHuyu ndiye aliyemloga Cristiano Ronaldo asicheze Kombe la Dunia
Mwanzo wa majerahaa ndo huyuAlipo kuwa kwenye mahojiano kwenye kituo cha Radio cha Angel Fm Nana Kwaku Bonsam alisema kuwa yeye ndie kahusika kwa kumroga Christiano Ronaldo ili aweze kuzikosa match...
View ArticleVicky Kamata Afunguka Kuhusu Ndoa yake Baada ya Kudaiwa Kuzuiliwa Kufungwa
Mwanamuziki wa zamani na mbunge Vicky Kamata baada ya ndoa yake kudaiwa kuzuiliwa kufungwa kutokana na kudaiwa mwanaume aliyetaka kufunga naye ndoa ana ndoa nyingine, amefunguka kwa kudai kuwa hizo...
View Article