$ 0 0 Jamani hii siyo mechi ya mpira bali ni hali halisi ya ajira nchini tz... hapa ni uwanja wa taifa wamejitokeza maelfu ya vijana kuja kwenye usaili uhamiaji. Nafasi watu wanaohitajika ni 70 tu..