Florah Mbasha Awagawa Wachungaji…Baadhi yao Wadai Hawawezi Kuhudumiwa na...
Mpasuko wa ndoa ya wasanii wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha na mkewe Florah umewagawa wachungaji wa makanisa mbalimbali nchini baada ya kibao kumgeukia Flora kwamba ndiye...
View ArticleTaarifa kwa umma juu ya kutelekezwa na chama changu (NCCR Mageuzi)
TAARIFA KWA UMMA JUU YA KUTEREKEZWA NA CHAMA CHANGU.Ndugu Watanzania na wale wote wanaojali UTU wa mtu, kwa kweli leo imenibidi niseme tu kutokana na hali yangu inavyozidi kuwa mbaya kutokana na chama...
View ArticleKuoa wanawake waliokulia maisha duni, ni kujichimbia kaburi.. hawana shukrani
Heshima kwenu wadau..Nipo kijiweni bar ya jirani hapa tunacheki world cup Brazuca..Kuna jamaa amezua hoja nzito kwamba kamwe hawezi kuoa mwanamke anaetoka familia ya kimaskini maana wengi wao hawana...
View ArticleKwanini ni Rahisi Clouds FM Kumpata Mh Rais Kuliko Taasisi Nyingine?
Nimeshangazwa, eti Kikwete ataudhuria Tamasha lililoandaliwa na Clouds Media Dodoma, tena ataambatana na mawaziri. Najiuliza, hivi ni kwa nini Clouds wanapo mtaka Mh Rais huwa anapatikana kilahisi...
View ArticleMchumba wa Ney wa Mitego Siwema Atoa Machozi ya Furaha Baada ya Kuona Nyumba...
Katika Harakati za Ney wa Mitego kuonesha Mali zake ambapo juzi ametuonesha gari lake aina ya Murano lenye Thamani ya Milion 36, Jana ameonyesha nyumba yake mpya yenye Thamani ya Mil 170 ambayo ipo...
View ArticleBaada ya Kimya Kirefu Mr Blue Ametoa Wimbo Mpya ..Unaweza Kusikiliza na...
Baada ya Kimya Kirefu Mr Blue Ametoa Wimbo Mpya ..Unaweza Kusikiliza na Kudownload Hapa Bonyeza Hapa Chini Kusikiliza au Kudownload:
View ArticleMama Amkubatia kwa Upendo Mahakamani Mtu Aliyemuua Mwanae
Uchungu wa mwana aujuae mzazi, na ukitaka kujua thamani ya mtoto kwa mama hatarisha maisha yake. Lakini hii imekuwa tofauti kwa mama huyu aliyezingatia sababu ya kifo cha mwanae.Mwanamke mmoja wa...
View ArticleMuamuzi Kutoka Japan Ageuzwa Sababu kubwa ya Ushindi wa Brazil
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Croatia Niko Kovac, ametoa tahadhari kwa maafisa wa shirikisho la soka duniani FIFA, kuwa makini na waamuzi wanaochezesha michezo ya fainali za kombe la dunia ambazo...
View ArticleJamani Hii siyo Mechi ya Mpira Bali ni Usaili wa Kazi Uhamiaji
Jamani hii siyo mechi ya mpira bali ni hali halisi ya ajira nchini tz... hapa ni uwanja wa taifa wamejitokeza maelfu ya vijana kuja kwenye usaili uhamiaji. Nafasi watu wanaohitajika ni 70 tu..
View ArticleHenry Kilewo Asema Kuna Mkono wa Mtu Kuchomwa Soko la Karume..Historia...
"Nikiwa kama kiongozi wa Chama ndani ya jiji la Dar es salaam, ninalaani tukio la uchomwaji moto la wafanyabiashara wadogo Karume jijini Dar es salaam. Kilichofanyika ni unyama wa hali ya juu na...
View ArticleAlichokiandika Wema Sepetu Kuhusu Ugomvi Uliyokuwepo Kati Yake Na Kajala Masanja
Wemasepetu "Good morning instagramers.... Hope you all well... If y'all must know mimi ni mtu ambaye huwa nasomaga sana comments.... Na kama nimekosa kusoma comment yako ujue ni kwamba zinakuwa nyingi...
View ArticlePunguzo la P.A.Y.E Kwa Asilimia 1 ni Dhihaka kwa Wafanyakazi!
Punguzo la 1% (kutoka 15% hadi 14%) kwenye kodi ya mishahara (PAYE) ni dhihaka kwa wafanyakazi wa Tanzania kwani gharama za maisha ziko juu sana kufuatia mfumuko mkubwa wa bei. Ifike wakati sasa...
View ArticleSpain Yachezea Kichapo Cha Mbwa Koko Kutoka Kwa Holand
Michuano ya kombe la dunia imezidi kushika kasi kwa michezo miwili iliyopigwa leo.Mchezo wa kwanza leo hii ulikuwa kati ya wawakilishi wa Afrika Cameroon dhidi ya Mexico, na wamexico wakaondoka na...
View ArticleBaada ya Soko la Karume Kuungua Kitu cha Ajabu Chenye Mfano wa Mtu Chaonekana
Hiki ni kitu ambacho kilipatikana mara baada ya moto kuzimwa eneo hilo la soko,Kila mtu ana maswali mengiiiiii bila majibu Je ni kitu gani hicho?au wewe ndugu msomaji unaweza tambua ni kitu gani Hiki?
View ArticleDawa za nywele zinazosababisha uvimbe wa kizazi kwa wanawake
Dawa za kulainisha nywele (relaxer) zimekuwa zinapendwa na wanawake wengi wa Afrika kwa kuwa zina uwezo wa kulainisha nywele na kumfanya apendeze na awe wa kuvutia.Hata hivyo, wataalamu wa afya wanadai...
View ArticleZanzibar Kimenuka Tena , Bomu Lalipuka Karibu na Msikiti na Kuua
Mtu 1 amefariki na wengine kujeruhiwa baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa bomu, kurushwa karibu na msikiti, darajani Zanzibar. Kuna taarifa ya kutokea mlipuko na mlio mkubwa mithili ya bomu umetokea...
View ArticleFlora Mbasha Avamiwa na Watu Wasiojulikana, Polisi Wamuokoa
SIKU chache baada ya tuhuma za ubakaji na mzozo wa familia ya mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emanuel Mbasha, mambo mengine yameibuka.Yaliyoibuka safari hii ni taarifa kwamba,...
View ArticleKwa Mara ya Kwanza Baada ya Muda Mrefu Jack Wolper Anaswa Live Live Ndani ya...
Stori: shakoor jongoKABANG! Baada ya kutoonekana katika pozi za kimahaba kwa muda mrefu, kwa mara ya kwanza, staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ‘Gambe’ amenaswa ‘live’ na mwanaume...
View ArticleKauli ya Wema Sepetu Kuhusu Penzi lake na Diamond 'Tunapenda Mpaka Tumepitiliza'
Wema Sepetu amesema uhusiano wake na Diamond Platnumz kwa sasa ni imara kwakuwa wamepitia mambo mengi pamoja yaliyowafunza mengi.Akiongea na Bongo5 hivi karibuni akiwa jijini Durban, Afrika Kusini...
View ArticleBibi kizee Mchawi adondoka kutoka Angani huko Jijini Mwanza
Kila mtu alikuwa na lake kuhusu bibi huyu anayedaiwa kukutwa akiwa uchi huku wengine wakisema ni mgonjwa wa akili na wengine wakidai ni mchawi kaanguka na ungo.Alipokuwa akihojiwa amedai ametoka...
View Article