Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Sitakaa Nimwamini Mwanamke Maisha Mwangu

$
0
0
Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume hata kama mmekosana unaweza kukubali apelekwe jela, wanawake sio hawana ubinadamu...Naamini kabisa Flora alikuwa na uwezo mkubwa wa kuingilia hilo na kuyamaliza kinyumbani...Nahakika asilimia 100 Mbasha akifungwa Jela baada ya miaka kadhaa atajutia alichofanya cha kukaa na kuangalia mume wake akienda Jela Bila Msaada wowote....Flora angeibuka Shujaa Kama Angeibuka na Kufuta kesi na kuyamaliza kifamilia 
Je wewe Kwa hilo Unasemaje?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>