Steve Nyerere Agoma Kuwataja Mashoga Bongo Movies
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amekataa katakata kuwataja wanachama wanaodaiwa ni mashoga ndani ya klabu hiyo ya jijini Dar.Akizungumza na Amani juzikati jijini Dar...
View ArticlePolisi nchini Kenya yamnasa mtu anayedaiwa kuendesha Account ya Twitter...
Maafisa wa polisi wa Kenya wamemtia nguvuni mshukiwa anayetuhumiwa kuendesha akaunti ya Twitter ambayo ina uhusiano na kundi la kigaidi la Al shabaab na uliotoa habari kwamba Al shabaab walihusika...
View ArticleDotnata 'Nachukizwa na Watu Wenye Kasumba ya Kumsema Vibaya Mwigizaji Wema...
MJASIRIAMALI na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’ ameibuka na kusema anachukizwa na watu wenye kasumba ya kumsema vibaya mwigizaji Wema Sepetu ‘Beutiful Onyinye’,...
View ArticleIvory Coast 1-2 Colombia
Ivory Coast sasa wanahitaji kushinda mechi yao ya mwisho dhidi ya Ugiriki ilikuwa na matumaini ya kumaliza katika nafasi ya pili ya kundi hilo na kusonga mbele katika hatua ya maondoano.Colombia...
View ArticleUkweli Kuhusu Tetesi za Lady Jay Dee Kuomba Msamaha kwa Ruge wa Clouds FM
Judith Daines Wambura Mbibo, known as Lady Jaydee a Tanzania R&B/Zouk/Kwaito singer ,Denial a rumors that she apology Ruge Mutahaba….. These fiction was written on Gazeti la Udaku…. Today On her...
View ArticleBBC Waianika Vibaya Tanzania Tena!
Baada ya kufanikiwa kwenye pembe za ndovu, BBC wametukung'uta tena. Safari hii ni kwenye madini ya tanzanite. Wanadai tanzanite inachimbwa na watoto. Wameweka video ya "the gemstone mined by child...
View ArticleMzee wa Upako Anamvua nguo GWAJIMA Hadharani
Kasema Gwajima anafanya hadaa kwa wafuasi wake, kasema kama kweli anafufua misukule, mbona hafufui watu wanaofahamika?Hafufui baba na mama zetu, hafufui majirani zetu, anafufua tusio wajua?Gwajima mzee...
View ArticleSikiliza na Download Wimbo Mpya wa Chege na Temba-Wauwe
Baada ya kutoka taarifa kadhaa za video ambayo ndani yake pia yupo Jokate,leo Chege na Temba wameamua kuuachia rasmi wimbo wao walioupa jina la Wauwe.zitumie hizi dakika 3 kusikiliza na kutoa maoni...
View ArticleWajeruhiwa kwa Risasi za Moto Baada ya Kunaswa Wakicheza Ngoma za Vigodoro...
Watu watatu wakazi wa Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam wamejeruhiwa katika tukio lililohusisha risasi za moto linalodaiwa kufanywa na polisi baada ya kukutwa wakikesha kwenye ngoma maarufu za...
View ArticleSakata la Mumewe kusota Rumande Kwa Ubakaji….Flora Mbasha Ajikuta Akiambulia...
Wakati jana mumewe Emmanuel Mbasha (32) akipandishwa kizimbani kwa mara ya pili kwa soo la ubakaji wa shemejiye, mwimba Injili kinara Bongo, Flora Mbasha (31) amepitia katika hatua tatu za aibu. Mbasha...
View ArticleVitambulisho vya Kura Vya Sasa Vyafutwa, Kutolewa Upya
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza matumizi ya teknolojia mpya ya Biometric Voter Registration (BVR), katika maboresho ya Daftari la Kudumu la Wapigakura ambayo yatafuta matumizi ya...
View ArticleTundu Lissu Ailipua Tena Serikali Kwa Kutoa Taarifa za Ungo
Serikali imeumbuliwa bungeni ikidaiwa kuwasilisha taarifa za uongo kupitia Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu ugawaji wa madawati yaliyonunuliwa kwa ‘chenji ya rada’.Mbunge wa Singida Mashariki...
View ArticleMitandao ya Kijamii Sasa Kudhibitiwa na TCRA...Onyo kwa Wanao Penda Kutukana...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na...
View ArticleSitakaa Nimwamini Mwanamke Maisha Mwangu
Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume...
View ArticleKinachoendelea Simba Kinakatisha Tamaa
KAMA zilivyo klabu nyingine, klabu ya Simba nayo ina nafasi yake ya kipekee katika suala zima la maendeleo ya soka la Tanzania.Simba kama zilivyo klabu nyingine nayo inatakiwa kuwa imara ili kutoa...
View ArticleKOLETA: Bado Nakula Ujana, Sina Mpango wa Kuolewa
Mwanadada kutoka tasnia ya filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amesema kwamba suala la yeye kuolewa siyo la leo wala kesho na kwamba anakula ujana kwanza.Akipiga stori na paparazi wetu juzikati,...
View ArticleArnold Kayanda 'Siku Hizi Vipindi vya Jioni Redioni Vimepungua Utamu, Huwezi...
"Huyu ni ndugu yangu Captain Gardner G Habash. Juzi kati tulikutana kwenye radio mpya mjini , walituomba maoni mawili matatu kuboresha. Nimemkumbuka! Gardner nilipojiunga Clouds FM yeye alishakuwa...
View ArticleDiva 'Chege Alinilazimisha Kushiriki Katika Video yake Sikumuomba'
Diva 'Chege Alinilazimisha Kushiriki Katika Video yake Sikumuomba'
View ArticleWema Amchana Aliyemzushia Kuwa na Ujauzito wa Diamond
Miss Tanzania 2006 pia Actress mwanadada mwenye nyota ya ajabu ambaye anakimbiza hapa Tzee Wema Sepetu a.k.a Mrs .Nasibu Abdul alias Daimond Platinum amemtaja mtu ambaye alimzushia kwamba...
View ArticleAibu! Mtaa Wafungwa Baada ya Jamaa Kunaswa Akila URODA na Mke wa Rafiki Yake...
Mume aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo jijini Dar, amemfumania rafiki yake aitwaye Jazira akiwa chumbani na mkewe Jack wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu.Tukio hilo...
View Article