Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109482

Papii Kocha na Baba yake Nguza Viking Wawatoa Watu Machozi Baada ya Kutumbuiza Maadhimisho ya Magereza Day

$
0
0
Msanii Nguza Viking (kulia) na Mwanae Jonson Nguza Maarufu kwa jina la Papii Kocha ambao wanatumikia Kifungo chao kwenye Gereza la Ukonga jijini Dar,wakiwa na Bendi ya Wafungwa wakiimba Wimbo Maalum kuhusu Urekebishaji wa Wafungwa unavyofanyika Magerezani,Wanamuziki hao walitumbuiza katika Maadhimisho ya Magereza Day yaliyofanyika Juni 20, 2014 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga. Tukio hilo lilifanya watu kuwalilia kwa uchungu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109482

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>