Shuhudia Arusi ya Lulu na Joti...Jua Ukweli wa Mambo Hapa
This is what Lulu captioned the first photo!!! On her INSTAGRAM account “N now u can Kiss the BRIDE����....... Samahani Waheshimiwa Wabunge...hii ni kazi tu...sirudii tena...msituweke kwenye ile List...
View ArticleMdee Atoboa Uozo, Ahoji Safari za Rais Kupewa bil. 50/-,Awataka Wakulima,...
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), amewataka wakulima, wafugaji kuipiga mawe Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kutenga sh bilioni 50 kwa ajili ya safari za rais huku ikitenga sh bilioni 51...
View ArticleBaada ya Kudondoka Kutoka Kwenye Gari na Kufariki Maiti yakaa eneo la ajali...
MWILI wa Idd Shamba aliyefariki dunia kwa ajali ya barabarabi katika Kijiji cha Engaruka wilayani hapa, imekaa barabarani kwa zaidi ya saa 21 ikisubiri polisi na daktari kufika eneo la tukio kwa ajli...
View ArticleHuyu Ndiye Mpenzi Mpya wa Irene Uwoya! Azungmzia Tofauti ya Umri wao na...
Mkali wa Sound Track ambaye pia ni mkali wa kuvunja (dancer) amezungumzia uhusiano wake na muigizaji mrembo wa Bongo Movies, Irene Uwoya.Akiongea na tovuti ya Times Fm, Msami alizunguka sana mbuyu...
View ArticleWatoto wa Will Smith Hulala na Nyoka 10 Chumbani, Wengine Hawajafungwa
Watoto wa Will na Jada Smith, Willow na Jaden wana mengi ya ndani ambayo wengi walikuwa hawayafahamu.Kwa mujibu wa US Weekly, Willow Smith mwenye umri wa miaka 13 hulala na nyoka kumi chumbani kwake na...
View ArticlePicha ya mhalifu yawavutia Wanawake, Wapanga Kuchangisha Pesa Kumtoa Jela
Kitengo cha polisi cha Stockton, California kimezua mjadala mpya baada ya kupost kwenye Facebook picha za mhalifu ili kipate msaada wa taarifa zaidi za raia lakini kilichotokea na kuwa picha hiyo...
View ArticleBaada ya Mambo Kuwa Mazito GWAJIMA Ajitosa Kumwokoa Mume wa FLORA MBASHA
Wakati mume wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akiachiwa huru kwa dhamana kufuatia kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es...
View ArticleHiki Ndicho Alikiandika Flora Mbasha Jana
Kama unaweza kushiriki maombi haya pamoja nami, Mungu akukumbuke, na kama upo kwa ajili ya kuhukumu, pia Mungu akukumbuke. Math7:1 Msihukumu msije mkahukumiwa ninyi, kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo,...
View ArticleUndani Sakata la Mnenguaji wa Kundi la Kanga Moko Aliyepigwa Risasi na Askari...
Mnenguaji wa Kundi la Kanga Moko, Zawia Hamis ambaye usiku wa Jumatano iliyopita alipigwa risasi mbili mwilini na mtu aliyedaiwa ni askari polisi, ameweka undani wa sakata hilo.Akizungumza na Risasi...
View ArticleNjemba anaswa akiwalawiti watoto kwa kuwahonga ubuyu
MKAZI wa mmoja wa Kijiji cha Igurubi Tarafa ya Igurubi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwaingilia kimwili watoto wenye umri wa chini ya miaka kumi, baada...
View ArticleBreaking News:Ajali Mbaya yatokea Maeneo ya Makongo na Kuuwa Watu 18..Photos
Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu...
View ArticleNapenda Kudate na Wanaume Maarufu Tu, Wasio na Jina hapa Mjini kwangu Takataka
Hii kitu imenitokea sana mara nyingi Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa ktk mahusiano na mwanaume maarufu najickia nipo salama sana hata kama hanisaidii chchte nainjoy mbaya kuliko...
View ArticlePapii Kocha na Baba yake Nguza Viking Wawatoa Watu Machozi Baada ya...
Msanii Nguza Viking (kulia) na Mwanae Jonson Nguza Maarufu kwa jina la Papii Kocha ambao wanatumikia Kifungo chao kwenye Gereza la Ukonga jijini Dar,wakiwa na Bendi ya Wafungwa wakiimba Wimbo Maalum...
View ArticleKauli ya Wema Sepetu Baada ya Picha ya Mama Yake Mzazi Kueditiwa na Kuwa...
Jana Kimetokea kitu cha Kusikitisha sana Instagram, Account Moja inayojiita Home_ya_jiji_team_dengue walichukua Picha ya Mama yake Wema na Kuiedit na kumzalilisha mama wa watu Bila Kosa lolote kisa ni...
View ArticleLowassa Atangaza ‘Uamuzi Mgumu’
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa ametangaza kuanza kwa hatua za kuyarejesha kwenye Mamlaka za Serikali za Vijiji mashamba 21 ya wawekezaji yenye ukubwa wa zaidi ya...
View ArticleSkendo Chafu Zamkimbiza Masogange Bongo, Aamua Kwenda Kuishi South Afrika...
Imebainika kuwa Mwanadada Agness Masogange ameihama nchi na kwenda kuishi South Africa Kutokana na Skendo zinazomkabili kubwa ikiwemo ile ya Madawa ya Kulevya Ambayo alikamatwa South Africa lakini...
View ArticleAlikiba: Sina bifu na Diamond lakini alinikosea na nikaumizwa na nilisha samehe
Msanii Alikiba ameamua kufungaka na kuweka waZi kili kinacho hitwa tofauti au bifu kati yake na Msanii Diamond!Kwanza lazima tukubaliane kuwa ALikiba ni mmoja wa Wasanii wasio penda maneno na malumbano...
View ArticleWafahamu Mastaa wa Bongo Waliotoka Familia Bora Zenye Uwezo
Hakuna mtu asiyejua maana ya watoto wa kishuabasi kama yupo basi maana halisi ya neno hili niwale watoto waliozaliwa kwenye familiazinazojiweza au unaweza kuita familia Bora. Maranyingi wasanii wengi...
View ArticleBarabara Mradi Mabasi Mwendo Kasi ni Janga, Usalama Wake ni wa Hatari kubwa...
Wakati wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa na matumaini makubwa ya kuondokana na msongamano wa magari kutokana na ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka (BRT), uchunguzi wa NIPASHE umebaini...
View ArticleWabunge acheni siasa na Misamaha ya Kodi, Haikwepeki ni lazima iwepo!
Ninashangazwa sana na Baadhi ya Wabunge wanapochangia hoja zao toka majuzi kuhusu Bajeti ya Wizara ya Fedha, wakilalamika sana kuhusu Misamaha ya Kodi kwa wawekezaji bila ya kutoa Alternative, I mean...
View Article