Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109475

Unaambiwa Hii Ndio Nguo Atakayo Vaa Diamond Kwenye BET Awards...Imetengenezwa Kwa Ajili Yake Tuu

$
0
0
BET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act. Diamond atapita kwenye Red Carpet itakayo tumiwa na wasanii mbalimbali siku ya tukio. 

Hii ni sehemu ya nguo ambayo atavaa siku ya tukio na imetengenezwa na Sheria Ngowi, sehemu moja imeandikwa Mr Diamond Platnumz.

Haya ni maneno aliyoandika alipo-share hii picha.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 109475

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>