Unaambiwa Hii Ndio Nguo Atakayo Vaa Diamond Kwenye BET Awards...Imetengenezwa...
BET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act. Diamond atapita kwenye Red Carpet itakayo tumiwa na wasanii...
View ArticleTabia za Mama Mkwe Ndio Tabia za Mkeo..Chukua hiyo Kubali Au Kataaa
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kwamba tabia za mama mkwe ndio tabia za mkeo upende usipende.kwahiyo kama una mpango wa kuoa usiishie kumchunguza mchumba wa kike ambaye wakati wa uchumba...
View ArticleKenya Airways Reports Second-Half Loss as Attacks Scare Visitors
Kenya Airways Ltd., sub-Saharan Africa’s third-biggest carrier, posted a second-half loss after attacks by Islamist militants in the country and a fire at the main airport in the capital scared off...
View ArticleJaji Werema Adaiwa Kumtishia kifo Kafulila Bungeni Dodoma
Mwanasheria mkuu wa serikali jaji Fredrick Werema ametuhumiwa kumtishia kifo mbunge wa Kigoma Kusini mh David Kafulila,Imedaiwa kuwa jaji Werema alimtolea maneno hayo ya vitisho mh Kafulila jana...
View ArticleUkiwa na Mpenzi Mwenye Haiba hii, Kujenga Uhusiano Imara ni Mashaka
Wataalamu wa tabia na mienendo ya binadamu wanasema, kuna Makundi kadhaa ya haiba. Wana maana kwamba, binadamu wamegawanyika katika Makundi kitabia.Je, wewe uko kwenye kundi lipi?Hiki ndicho...
View ArticleMzee wa Kanisa Aaibika, Kisa Vibinti Under 18, Achomoliwa Gesti Apelekwa...
Stori: Richard Bukos na Issa MnallyTumekwisha! Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika baada ya kukurupushwa kwenye...
View ArticleWakati Hata Arobaini Bado Mke wa Marehemu George Tyson Ataka Mali zake
Stori: ShanI Ramadhani na Mayasa MariwataWakati hata siku arobaini hazijatimia, mke wa marehemu George Otieno ‘Tyson’, Beatrice Shayo juzi alicharukia mali zake baada ya kuamua kutinga nyumbani kwa...
View Article'Mwezi Mtukufu Huu ni Kutulia na Kujipodoa tu, Mkorogo Utanikoma' Maimartha...
Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse amesema anafurahia ujio wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwani kazi yake itakuwa ni kutulia na kujipodoa tu.Akipiga stori na Ijumaa Mai alisema mwezi...
View ArticleDiva Loveness'Huwa Mnahisi niko na Fimbo nini? Nina Mguu, Nina Hilo Tako...
DIVA Shows Off Her Body Mtakoma Mwaka Huu.....Team Nanilii Mpo? Hakuna kuedit Hapo kitu kipo real Kabisa...
View ArticleHali ya Jack Gerezani Macau Nchini China Siyo Nzuri
UNAWEZA kusema ni majanga juu ya majanga yanazidi kumkumba modo wa Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ baada ya wiki iliyopita kushindwa kupanda kortini kufuatia kutetereka kwa afya yake bila...
View ArticlePicha: Jokate na Pozi Lenye Utata..Shanga na Kiuno
Mwanamitindo maarufu na mbunifu wa mavazi nchini, Jokate mwegelo (pichani) akiwa kwenye pozi lenye utata..Watu na Viuno vyao Shanga pale kati
View ArticleSamuel Misago(EA Radio/TV) vs B-Dozen(Cloudz FM) nani zaidi?
1.SAM MISAGO vs B-TWELVE2.ADAM MCHOMVU vs ABDALA(dulla wa planet bongo)*hawa jamaa wanaendana sana kiutangazaji bila kusahau 'swaga' na wote wako hot kiukweli(wanajua),yupi anakukosha zaid kati yao...
View ArticleNi Watanzania Wangapi Wamefungwa Brazil Mwaka Huu kwa ishu za Dawa za...
January 2014 balozi wa Tanzania nchini China aliongea kwenye exclusive interview na millardayo.com na kusema Watanzania wanaoshikiliwa kwenye magereza mbalimbali nchini humo hawazidi 200 lakini idadi...
View ArticleMsikilize Nuhu Mziwanda na Shilole Wakiongea Kuhusu Penzi leo na Kuhusu Ndoa
Wapenzi wanaotoka kiwanda cha muziki Tanzania Nuh Mziwanda na Shilole leo walikua kwenye kipindi cha Leo tena ambapo walikua kama wageni kwenye kipengele cha Hekaheka,sasa yameibuka mengi ambayo...
View ArticleDk Salim: Sina Mpango na Urais 2015, Sifikirii Tena, Hii ni Zamu ya Kizazi...
Asema alipogombea 2005 alibaini kwamba mbali na rekodi ya utendaji, kuna mambo mengine yanayohitajika katika kinyang’anyiro hichoDar es Salaam. Waziri Mkuu mstaafu, Dk Salim Ahmed Salim amesema hana...
View ArticleWanachama 34 CUF wawakataa Seif, Lipumba
Wanachama 34 wa Chama cha Wananchi (CUF), wamepiga kura za kuwakataa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad.Hata hivyo, pamoja na idadi hiyo...
View ArticleWerema: Nina watoto halafu natukanwa?
TAFRANI iliyojitokeza bungeni juzi kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema kumuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR Mageuzi) tumbili, naye kumjibu kwa kumuita mwizi imeingia...
View ArticleSerikali yapiga Marufuku tabia ya Trafiki kujificha Vichakani kuvizia magari...
Serikali imepiga marufuku tabia ya askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, kuvizia magari katika barabara kuu wakiwa na kifaa cha kupima mwendo kasi wa magari.Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya...
View ArticleAmina Maige akana Shitaka la kumchoma Pasi na Kumng’ata Hausigeli...
Mkazi wa Mwananyamala, Amina Maige(42) anayetuhumiwa kumng’ata mfanyakazi wake wa ndani, amepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali baada ya upelelezi wa kesi hiyo kukamilika. Amina alisomewa...
View ArticleMungu Hashindwi Hatimaye Flora Mbasha na Mumewe Wapatana
HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana, Risasi...
View Article