1.SAM MISAGO vs B-TWELVE
2.ADAM MCHOMVU vs ABDALA(dulla wa planet bongo)
*hawa jamaa wanaendana sana kiutangazaji bila kusahau 'swaga' na wote wako hot kiukweli(wanajua),yupi anakukosha zaid kati yao katika kila kipengele?
NB:kama huwa huwasikilizi/huwajui usicomment