Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109446

Full time ya Brazil vs Chile na Colombia vs Uruguay

$
0
0
Hatua ya mtoano katika michuano ya kombe la dunia imeanza rasmi leo kwa michezo kati ya Brazil vs Chile na Colombia vs Uruguay.
Kwenye mchezo wa kwanza, waaandaji wa Michuano Brazil wametinga Robo fainali ya Michuano ya Kombe la Dunia na kuwa timu ya kwanza kutinga robo fainali katika mashindano hayo, baada ya kuifunga Chile kwa mikwaju ya Penati ambapo matokeo yamekuwa tatu kwa mbili
Mauricio Pinilla na Alexis Sanchez ndio walikosa penati , kabla ya Gonzalo Jara kukosa Penati ya Muhimu .
Katika mchezo wenyewe , David Luiz aliipatia Brazil Goli la uongozi baada ya Thiago Silva kuuparaza Mpira na kuunganisha kona iliyopigwa na Neymar’.
Chile walisawazisha Baada ya Eduardo Vargas kuokoa Mpira vibaya na kumfanya goli ambapo mlinzi wa chile Alexis Sanchez kusawazisha .
Kwenye mchezo mwingine uliopigwa leo hii kati ya Uruguay vs Colombia, magoli mawili mazuri kabisa ya james Rodriguez yalitosha kuipeleka Colombia kwenye robo fainali ya michuano ambapo timu hiyo sasa na Brazil.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109446

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>