Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109475

Laiti CHADEMA wangezingatia ushauri wa Zitto Kabwe kisingekufa kwa style hii

$
0
0
Bado nazid kukihurumia sana chama hiki.

Chama kilichokawa kinachukua kasi ya kusambaza mabadiliko na kuichallange CCM lakin migogoro isiyokwisha na uchu wa madaraka wa viongoz wa juu wa chama hiko umekiua moja kwa moja.

Nakumbuka kauli za Zitto kabwe kipindi kile aliposema ya kwamba huwez kuharibu Taswira ya Zitto kabwe huku ukitaraji kwamba chadema itabaki salama.

Maskini Chadema walipuuza maneno yale.
Wakaweka pamba maskioni na kumchafua zitto kabwe ili wammalize kisiasa pasi na kujua kwamba walikua wanajiua wao wenyewe na chama chao.

Siku zimekwenda Nyota ya Zitto na Taswira ya zitto imeharibika kwa wahafidhina wa chama hicho huku upande wa pili kwa wananchi ikiendelea kunawiri.

Kunawiri kwa nyota ya zitto kwa wananchi kumekuwa inversely proportion kwa upande wa nyota ya chama hiko.

Kwani ndivyo kimezidi kufifia zaidi.

Nakihurumia sana chama hiko.

Nani sasa ataitoa CCM madarakani??
Nakita via JF

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109475

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>