leo karibu na mwisho wa kipind cha xxl watangazaj wa kipind hiko wamegombana live kwenye kipind mpaka ray alipokuja na kuwazimia mics!
kisa ni compilation album ya fiesta.
Nini maoni yako kuhusu mwenendo wao na nani alikuwa Source au influencer wa ugomvi?
Audio ya Ugomvi huo Coming Soon