Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hali si Shwari Ray na Johari sasa Kugawana Hadi Nguo za Ndani

Hali katika kampini ya RJ inayoongozwa kwa ubiya kati ya Vicent Kigosi ( Ray) na Blandina Chagula ‘Johari’, inazidi kuwa tete kwa kile kinachoelezwa kuwa johari hataki kufanya kazi pamoja na ‘mke...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hausigeli Adaiwa Kumuua Mwajiri Wake kwa Kumchoma Kisu

Karani wa Mahakama ya Wilaya ya Singida, Asha Juma(24), ameuawa kwa kuchomwa kisu na mfanyakazi wake wa ndani.Tukio hilo limetokea jana saa 4:00 asubuhi eneo la Sabasaba katika kata ya Utemini mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda Awaagiza UKAWA Kurudi Bunge la Katiba; Asema Sio OMBI

Ametoa agizo hilo leo Iringa katika Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu wa Ngalalekumtwa katika kanisaa katoliki Iringa. Amesema ukawa lazima wahakikishe wanarudi bungeni kujadili.katiba na kusisitiza sio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maskini Yule Mwanafunzi wa Chuo Aliyechomwa Moto Kwa Kuzaniwa Mwizi Afariki...

Daniel Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha University College – RUCO), amefariki dunia baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Beyonce Achochea Moto Tetesi za Usaliti wa Jay Z, Abadili Mashairi ya wimbo...

Beyonce Knowles amechochea kuni katika moto wa tetesi za usaliti wa mapenzi wa Jay Z baada ya kubadili kidogo mashairi ya wimbo wake ‘Resentment’ uliopo katika albam yake ya  B’Day aliyoitoa mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndege Yaanguka Juu ya Paa La Nyumba na Kuuwa Watu Wanne Hapo Hapo

Taarifa kutoka Kenya naambiwa watu wanne waliokua kwenye ndege iliyokua ikipaa kutoka uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Nairobi kuelekea Mogadishu Somalia wamefariki dunia baada ya Ndege hiyo kuanguka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Awatia Kiwewe Nelly na Chriss Brown, Wagombea number zake za Simu

Stori: Andrew Carlos na Musa MatejaNext level! Staa wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anafanya kweli kimataifa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameandika historia kwenye Tuzo za Black Entertainment...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naomba ushauri..Jamaa Ananitaka Kimapenzi Nikimwangalia Ananishinda Kila Kitu...

Jamani mie Mdada wa Hapa Mjini basi jamani eti huyo jamaa kanitumia Message Facebook eti anataka kuwa boyfriend wangu eti ananipenda sana baada ya kuona picha zangu, Nashindwa hata nimwambiaje maana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakenya Wataka Vera Sadika Ashiriki Big Brother ila Waweze Ona Makalio yake...

Wakenya Wameanzisha Kampeni Online wakitaka Vera Sadika Mrembo Ambae ni Nguzo huko Kenya kwa wakati huu Ashiriki Shindano la Big Brother Afrika Ambalo litaanza Hivi Karibuni ...Hizi Ni baadhi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maximo Aanza kazi Yanga Kwa Mikwara Atangaza Week Nne za Hatari, Tegete Apewa...

KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, jana alianza kazi yake kwa mkwara mzito huku kila aliyehudhuria akionyesha kutikisa kichwa kuikubali.Maximo majira ya saa mbili kamili asubuhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ugomvi wa Ray C na TID, Ray C Umejitakia Mwenyewe Kutukanwa

Jana kwenye Mitandao mbali mbali hasa blogs na Insta Kulienea habari kuwa Tid Amemtukana Ray C matusi ya Nguoni Baada ya Ray C Kupost kwenye Picha aliyopost TID Instagram Akimwomba Waongee.......Ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwanini Sheria Ngowi Kumvalisha Diamond Why Not Martin Kadinda?

Diamond At BET, Dressed by Sheria NgowiKama Kumbu kumbu zangu zipo Vizuri nakumbuka Mtu wa Kwanza kabisa kumvisha Diamond na kuanza kupendeza alikuwa Martini Kadinda na zile suti zake za Single...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diva Loveness Ajifananisha Yeye Mwenyewe na Tony Braxton

Leo Diva Ameamka na Mpya Huko Instagram kwa Kupost Picha mbali mbali akijifananisha na Mwanamuziki wa Marekani Anayejulikana kama Tony Braxton , katika Picha Moja Ameandika"Kipindi cha Slave Trade Kuna...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na Golkipa wa Ajabu Kombe la Dunia mwenye Vidole Sita Mkononi

Brazil. Inawezekana kuwa Mexico imetolewa ‘kikatili’ kwenye hatua ya 16 bora ya fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil.Visa vya winga wa Uholanzi, Arjen Robben kujiangusha na hatimaye kupata mkwaju wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chadema: Ofisi ya Msajili inatumiwa wa Vyama Inatumiwa Vibaya na Wasaliti wa...

Mvutano mpya umeibuka baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumvaa Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kikidai ofisi yake inatumiwa na wasaliti wa chama hicho.Pia, chama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa Aweka Wazi Mali zake Aseme yeye sio Tajiri Bali ni Mfugaji tu Monduli

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema madai kwamba yeye ni tajiri hayana ukweli wowote. Amesema yeye ni mfugaji na anamiliki ng’ombe zaidi ya 800 katika Jimbo la Monduli, mkoani Arusha.Lowassa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News:Majambazi Wavamia Basi la Mahabusu na Kuwashambulia Askari na...

Breaking news: sasa hivi saa 8.15mchana.Kuna tukio hapa Tmj hospital. Majambazi wakikimbia kwa miguu wakitokea kwa Nyerere wamelishambulia basi la magereza lilobeba wafungwa na escort ya polisi kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wolper 'Kuna Watoto Wanalawitiwa Majumbani Alafu Wazazi Wanayamaliza Kimya...

Wakati  sheria  ikizidi  kuwatia  hatiani  wale  nguli  wa  kulawiti  watoto, staa  wa  bongo  movie, Jackline  Wolper  amesema  kuwa  hata  kwa  upande  wake  huwa  anasikitishwa  na  vitendo  hivyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majambazi Waliomuua Sista wa Kanisa Katoliki Maeneo ya River Side Ubungo...

JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu nane wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi sugu. Wawili kati yao wanahusishwa na tukio la kuuawa kwa Sista Cresencia Kapuri (50) wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Clouds FM Kimenuka Watangazi wa Kipindi cha XXL Wapigana Live On Air

leo karibu na mwisho wa kipind cha xxl watangazaj wa kipind hiko wamegombana live kwenye kipind mpaka ray alipokuja na kuwazimia mics!kisa ni compilation album ya fiesta.Nini maoni yako kuhusu mwenendo...

View Article
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>