Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Video ya Shetta 'Kerewa' Yaanza Kuoneshwa MTV Base

$
0
0
Bajeti kubwa aliyokuwa anaitaja Shetta katika video ya wimbo wake wa ‘Kerewa’ imeanza kuzaa matunda baada ya video hiyo kuanza kuoeneshwa na kituo cha MTV Base.

Shetta haujutii ushauri aliopewa na Diamond kutumia kiasi cha Milioni takriba 30 za kitanzania kuhakikisha mzigo unatoka vizuri na kwa kiwangu cha juu.


Hii ni hatua kubwa kwa msanii huyo kwa kuwa inakuwa video yake ya kwanza kuanza kuonekana katika channel hiyo ya kimataifa na bila shaka matunda zaidi yanakuja.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>