Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sikiliza Jinsi Adamu Mchomvu, DJ Fetty na B 12 Walivyokuwa Wanapigana Huku...

Leo Kwenye Kipindi cha XXL Watangazaji wa Clouds Walipiga Ngumi Live Live Huku wakiwa wamesahau Kuzima Mike Ambapo wasikilizaji tulisikia kila kitu jinsi walivyokuwa wakirushiana mangumi....Sikiliza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Libya Ajiua kwa Risasi Ofisini Dar

 Balozi wa Libya nchini Tanzania, Ismail Nwairat, amejiua kwa risasi jana ofisini kwake, katika tukio la kwanza la aina yake nchini kwa kigogo wa ubalozi kuondoa uhai wake.Hadi sasa haijafahamika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ray' Sasa Nimerudi Kazini Nitarudisha Bongo Movies Kama Enzi za Marehemu...

MUONGOZAJI na mwigizaji mahiri katika tasnia ya filamu Swahilifilamu Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema kuwa hajatoweka katika tasnia ya filamu bali alikuwa akijipange kwa ajili ya kuangalia soko la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video Nzima Edzen Jumanne Akeleza Jinsi Ndoa Yake na Dida Ilivyovunjika,...

Stori: Deogratius Mongela na Chande AbdallahSIKU chache baada ya kuvunjika kwa ndoa ya Khadija Shaibu ‘Dida’, aliyekuwa mumewe, Mtangazaji wa TV1, Ezden Jumanne ameibuka na kutoa sababu kuu tatu za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News:Mchezaji Athmani Idd Chuji Amesajiliwa na Azam FC

Aliyekuwa kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' akiwa mzoezini na klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Njama chafu za kuidhoofisha CHADEMA: ‘Tatizo ni Mbowe, Dk. Slaa’

ILI kudhibiti nguvu ya upinzani na kujihakikishia ushindi katika uchaguzi ujao, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kuwekeza katika mikakati michafu dhidi ya viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Enyi Wanaume Acheni Sifa Wafikisheni Wenzi Wenu Kwenye Kitanda

Ndugu zangu  katika hali ya mazoea ni nadra kusikia mwanaume akijisifia kuwa kamfikisha mwenzi wake bali wengi hujisifia wamefika kati ya mara 3 mpaka 5, wengine wanathubutu kusema wamefika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Cathy' Jamani Ustaa Kwenye Ndoa ndio Chanzo cha Kuvunjika kwa Ndoa Nyingi za...

MSANII maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Rupia ’Cathy’ amewataka wasanii wenzake kutofanya ustaa kwenye ndoa zao kwani ndiyo chanzo cha kuvunjika kwa ndoa nyingi.Akipiga stori na paparazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uhuni Unaofanywa na Adam Mchomvu, Fetty na B12 Hatutaweza Kuuvumilia

Kitendo walichokifanya vijana wa xxl jana ni muendelezo wa lile tukio lililotokea kipindi cha nyuma kidogo kusema kwamba "adamu mchomvu, fetty na b12 wamefukuzwa clouds fm" mnakumbuka?, huu ni moja ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha ya Kwanza Ikionyesha Jinsi Ofisi ilivyoharibika Baada ya Watangazaji wa...

Picha ya Kwanza Ikionyesha Jinsi Ofisi ilivyoharibika Baada ya Watangazaji wa Clouds Kupigana Ngumi kwenye Kipindi cha XXL ......

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ni Ukweli Usio Pingika Kuwa Kwasasa Penye Davido Diamond Hakai

Dah kiukweli huyu DAVIDO (miaka21) anamtesa sana kaka yake Diamond Platinuma(miaka26)1.Tuzo za MTV Africa Music Awards zilizofanyika KwaZulu-Natal Davido alifanikiwa kuchukua tuzo mbili ikiwemo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video ya Shetta 'Kerewa' Yaanza Kuoneshwa MTV Base

Bajeti kubwa aliyokuwa anaitaja Shetta katika video ya wimbo wake wa ‘Kerewa’ imeanza kuzaa matunda baada ya video hiyo kuanza kuoeneshwa na kituo cha MTV Base.Shetta haujutii ushauri aliopewa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hatimaye Gwajima Naye Afunguka Sakata la Mbasha Baada ya Mengi Kusemwa...

MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Josephat Gwajima, amefunguka na kuuweka hadharani uhusiano wake na familia ya waimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kagame Ajirudi Na Kusema Rwanda na Tanzania ni Ndugu Hatupaswi Kugombana

BAADA ya mgogoro wa muda mrefu wa diplomasia kati ya Tanzania na Rwanda, Rais Paul Kagame, amesema nchi hizo mbili ni ndugu na yanayotokea yasingepaswa kutokea.Kagame aliyasema hayo alipozungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Al Shabaab Yamuua Mbunge na Mlinzi Wake Nchini Somalia

WANAMGAMBO wa Al Shabaab wamedai kuwa wamemuua kwa kumfyatulia risasi mbunge maarufu mjini Mogadishu. Taarifa zinasema, Ahmed Mohamud Hayd (Mb) aliuawa baada ya kutoka hotelini ambapo katika tukio...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kumbe Mwigulu Akiweka Siasa Pembeni ni Mwelewa na Mjuzi wa Mambo

Kwa muda mrefu nilikuwa nikimuona Mwigulu bungeni na michango yake, nilikuwa nimeshamuweka kwenye kundi la watu wazandiki, wafitini, wahafidhina, mchochezi na vitu vingine kama hivyo. Leo nimemsikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utabiri wa Kifo Chake Aunty Ezekiel Amwaga Machozi

SIKU chache baada ya Nabii wa Huduma ya Ufufuo, Buza jijini Dar, Yaspi Paul Bendera kutabiri kuwa vifo vya mastaa vitaendelea, staa wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel amemwaga machozi baada ya kuhusishwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umewahi Kufanya Mapenzi kwa Bahati Mbaya Bila Kutegemea?

Nimewahi kupata experience ya matukio mawili ambayo yalinipa maana halisi ya "UNEXPECTED SEX" .Tukio la kwanza lilitokea mwaka 2009 ambapo nilipanda basi nikielekea Tabora kwenda kumuona ndugu yangu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

January Makamba Atangaza Nia ya Kugombea Uraisi 2015 Licha ya Kuonywa Kuto...

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ametangaza nia yake ya kuwania urais akisema huu ni wakati wa kupisha fikra mpya kuongoza dola, licha ya chama hicho kuzuia kutangaza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kafulila "I’m Ready to Go to jail. I’m Not Afraid of Telling the Truth,...

Kigoma South MP David Kafulila yesterday appealed to President Jakaya Kikwete to intervene in the controversy surrounding the payment of Sh201 billion to Pan African Power Solutions Ltd (PAP).The...

View Article
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>